Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 13,013
- 25,700
Sawa serikali imeharibu amani,je na sisi tuendelee kuiharibu au walau tujitahidi kurekebisha ili walau mambo yasiharibike sanaMkuu anayevuruga amani ni serikali, hiki kinachotokea sasa hivi ni matokeo sio chanzo. Mzigo ambao wananchi wanalazimika kuubeba ili kulinda hiyo amani ya Tanzania ni mkubwa mno.
Njia ipi ya kurekebisha mkuu? Mfano utekaji ulianza wakati wa Magufuli watu walikuwa wakiupigia kelele ila hadi sasa ndio unazidi badala ya kupungua, sasa hivi imekuwa kama mchezo tu. Sasa niambie sie wananchi kipi tunachoweza kufanya maana sasa hata kuukemea tu pia tunaogopa.Sawa serikali imeharibu amani,je na sisi tuendelee kuiharibu au walau tujitahidi kurekebisha ili walau mambo yasiharibike sana
Ni sahihi kabisa umeanza zamani na sasa unashamiriNjia ipi ya kurekebisha mkuu? Mfano utekaji ulianza wakati wa Magufuli watu walikuwa wakiupigia kelele ila hadi sasa ndio unazidi badala ya kupungua, sasa hivi imekuwa kama mchezo tu. Sasa niambie sie wananchi kipi tunachoweza kufanya maana sasa hata kuukemea tu pia tunaogopa.
Kwahiyo ili tuendelee kuonekana Tanzania ni nchi ya amani inabidi tu kukubali jambo kama hilo la utekaji ambalo kadri muda unavyozidi kwenda nalo linazidi.
Hilo sio tatizo langu ni mtazamo wako,kama ningesema linalokupendeza usinge sema hayaHivi ulipitaje kwenye usahili wewe? Mi nilifikiri mliolipwa wote kuja kuisafisha serikali yenu haramu huku kwenye mitandao mna uwezo mzuri wa kujenga hoja?
Msingi wa Amani ni haki huwezi kutenganisha hilo hakuna amani bila na hakiHilo sio tatizo langu ni mtazamo wako,kama ningesema linalokupendeza usinge sema haya
Swala hapa ni amani yetu ndio tunu yetu tuilinde kwa wivu mkubwa sana
Si kila ambaye anawaza tofauti na nyinyi yupo upande wa serikaliAmani kwenu ni kuteka na kupoteza watu sio?
Serikali gani msiyotaka ukosoaji?
Kwahiyo kwa sasa hivi ni sahihi kushikilia raia kwenye vituo vya polisi bila kuwapeleka mahakamani sio, ni sahihi kuua raia na kupoteza miili yao ndugu zao wasipate fulsa ya kuwazika sio?Si kila ambaye anawaza tofauti na nyinyi yupo upande wa serikali
Mimi ni mwananchi wa kawaida ambaye siyaendei mambo kwakuwa majority wanaamini hivyo ila naliendea jambo kwakuwa ni sahihi na salama kwa wakati husika
Hicho ndio nachokisema kwamba moja ya mzigo mkubwa ambapo wanalazimika kubeba wananchi katika kulinda amani ya hii nchi.Ni sahihi kabisa umeanza zamani na sasa unashamiri
Kwa mazingira haya je mwananchi afanyeje?
My upinion since wanaotekwa ni wale tu ambao wanaikosoa serikali basi ili uwe salama kaa mbali na harakati zitakazo kuletea madhara,iko hivyo
Kinyume na hapo umejiweka rehani wewe mwenyewe na hakuna wa kumlaumu
Maoni yangu yanaweza yasikubaliwe na wengi and which is fine lakini ndio njia salama kwa sasa
Duuh aisee mzee si unatengeneza bomu sasa.Ni sahihi kabisa umeanza zamani na sasa unashamiri
Kwa mazingira haya je mwananchi afanyeje?
My upinion since wanaotekwa ni wale tu ambao wanaikosoa serikali basi ili uwe salama kaa mbali na harakati zitakazo kuletea madhara,iko hivyo
Kinyume na hapo umejiweka rehani wewe mwenyewe na hakuna wa kumlaumu
Maoni yangu yanaweza yasikubaliwe na wengi and which is fine lakini ndio njia salama kwa sasa
Nakubaliana na wewe kwamba ni kweli hali ya kisiasa si rafiki kwa sasa,je ni sahihi na wewe kuweka nafsi yako hatarini kwa sasa?Hicho ndio nachokisema kwamba moja ya mzigo mkubwa ambapo wanalazimika kubeba wananchi katika kulinda amani ya hii nchi.
Shida ni kwamba hilo suala ni gumu kuwezekana sio wote wataweza kufanya hivyo mkuu na hata kama endapo watu wote watafanya hivyo unadhani hali itakuaje kwamba kuwe hakuna ukosoaji kabisa serikali iwe na uhuru 100% wa kufanya lolote?
Kinachotokea sasa hivi ni baada ya watu kuvumilia na kuchoka, alipoingia Samia watu walikuwa na matumaini makubwa tena hawa hawa ambao unaona ni wanaharakati ambao wanataka kuvuruga nchi.
Binafsi sipendezwi na utekaji kabisa ila sasa nitafanyeje,unafikir sitamani kuandika dhidi ya serikali?Duuh aisee mzee si unatengeneza bomu sasa.
Kama utekaji unafanywa kweli na serikali si hata watu wenye nia ovu watatumia mwanya huo kuteka watesi wao, ndio kama hali ilivyofika sasa.
Na sio kutekwa tu bali watu wanajiteka wenyewe kutengeneza drama kwasababu ishakua trend sasa.
Yaani unaona makosa, yasikemewe!! Kwa dunia ya sasa hilo sahau mkuu, utakua unampigia mbuzi gitaa na kudhani atacheza.
Kuna njia nyingi salama za kudai haki lakini huwezi kufanya siasa za hatari etu uonekane jasiri huo ni ujinga,ndio maana wanaharakati wahuni wamekimbia nchini kwa kuhofia uhai wao,je wao sio waoga?Ungeanza kwanza kukemea ufisadi, utekaji, na uonevu mwingine huo ndio umesababisha amani kutoweka
We unataka watu waonewe na wakae kimya tu kama mifugo, hata mifugo hua ina resist uonevu
Ngoja nimalize kwa kukutukana wewe ni coward na hapa unataka wote tuwe kama wewe
Unajitekenya halafu unacheka mwenyewe, leo tuna nchi inaitwa TANGANYIKA?Maajabu kweli! mleta mada anasema tanganyika haipo ila zanzibar ipo, yaani alivyo zwazwa anasahau kuwa nchi mbili zimeungana ndipo ikazaliwa tanzania! kumbe uko uvccm kuna mazwazwa namna hii?