π π πTuwaheshimu sana akina baba maana wanapitia mengi kututunza.View attachment 1498949
unaweza wewDADEKI..πππ
hapo sina usemi dah! Jamaa ni mbunifu wa aina yake..π
A wapi dogo atakunywa kwa vitisho tu nikimnyooshea mkono tu lzm akae kimya atakuwa analia kile kilio cha kwikwi huku akinywa maziwa..unaweza wew
π π siyo vzr bembeleza mwanaoA wapi dogo atakunywa kwa vitisho tu nikimnyooshea mkono tu lzm akae kimya atakuwa analia kile kilio cha kwikwi huku akinywa maziwa..
Hii awamu ya tano bhana. π
Mke wangu si upo.. utambembeleza tu Mimi ni kitengo cha vibano tu..!ππ π siyo vzr bembeleza mwanao
ππππMke wangu si upo.. utambembeleza tu Mimi ni kitengo cha vibano tu..!π
Halafu una kesi ya kujibu..!ππππ