Tuwaeleweje wasiomuunga mkono Magufuli?

Tuwaeleweje wasiomuunga mkono Magufuli?

toa ushahid mzee...si najibu ya majimboyote mnayo!! tupe mfani jimbo moja tu zilipoibiwa kura....or else.....angalia sana kuna jela kaka

kuandika tu huwezi eti najibu ndo nini labda?elimu elimu elimu ,jela ni motoni kwa watu kama ninyi
 
RAIS HARAMU ukimuunga mkono unamkosea Mungu! JUSTICE ONLY CAN ENDURE THE NATION.
 
Hotuba ya Magufuli ina nini kipya? Sethi Benjamini alikufa kwa kutembea kilometer kibao kuunga mkono hotuba ya JKN kuhusu Azimio la Arusha! Huyu ambaye ameingizwa madaraka kwa mtutu wa Bunduki na Wizi wa Kura wamuunge Mkono kwa lipi? Futuhi la Vitanda? Kutekeleza Sera za Africa Mashariki kuhusu Safari za Nje? Maisha ya Watanzania kuwa Mazuri ghafla? au Umeme wa power bank?

Of course kwa IQ uliyonayo si rahisi kutofautisha hata jumlisha na kuzidisha. Pole yako ninyi ndio tutawaacha nyuma. Wenzio tunasonga mbele tena kwa kasi kubwaa!
 
Kelele zote za nini?kila siku Magufuli,Magufuli acheni kuwafanya wananchi kama vipofu ambao hawaoni,kama Magufuli ni mzuri na ana tosha wananchi wana akili watamuona kwa mcho yao wenyewe,kila siku Magufuli Magufuli mwisho wananchi wakawashitukia.
 
RAIS HARAMU ukimuunga mkono unamkosea Mungu! JUSTICE ONLY CAN ENDURE THE NATION.

Inawezekana wewe ndo mwananchi haramu kwa kushindwa kwako kuheshimu maamuzi ya wengi walio mchagua.
 
Of course kwa IQ uliyonayo si rahisi kutofautisha hata jumlisha na kuzidisha. Pole yako ninyi ndio tutawaacha nyuma. Wenzio tunasonga mbele tena kwa kasi kubwaa!

we ndo maiti kabisa au umefufuka baada ya 54 years ndo umeanza kasi hamna lolote ni kiini macho
 
Inawezekana wewe ndo mwananchi haramu kwa kushindwa kwako kuheshimu maamuzi ya wengi walio mchagua.

Hapo kwenye nyekundu, kinyume chake ndo kilichotokea au unjifanya hujui? au unajitoa ufahamu?
 
Aisee haina jipya?Ndiyo hotuba inaweza isiwe na jipya lakini utendaji wake ni mpya!Dah,ni wazi huko pamoja na watanzania.Nenda katafute nchi unayoona inakufaa uishi.Sisi tumechoka na wezi wa mali za uma kwa njia moja au nyingine,mafisadi na uzembe sehemu za kazi.
Hotuba ya Magufuli ina nini kipya? Sethi Benjamini alikufa kwa kutembea kilometer kibao kuunga mkono hotuba ya JKN kuhusu Azimio la Arusha! Huyu ambaye ameingizwa madaraka kwa mtutu wa Bunduki na Wizi wa Kura wamuunge Mkono kwa lipi? Futuhi la Vitanda? Kutekeleza Sera za Africa Mashariki kuhusu Safari za Nje? Maisha ya Watanzania kuwa Mazuri ghafla? au Umeme wa power bank?
 
Aisee haina jipya?Ndiyo hotuba inaweza isiwe na jipya lakini utendaji wake ni mpya!Dah,ni wazi huko pamoja na watanzania.Nenda katafute nchi unayoona inakufaa uishi.Sisi tumechoka na wezi wa mali za uma kwa njia moja au nyingine,mafisadi na uzembe sehemu za kazi.

uraisi ni taasisi kwahiyo huwezi jifanya mjuaji ,kingine hukumbuki alisema chama kwanza,au umeamka baada ya miaka 54 ndo unaona mambo yanaanza kwenda hata mwezi hujaisha tz ni vipofu
 
Ndugu watanzania wenzangu, kumekuwa na mijadala ambayo mingine ni kumkatisha tamaa rais wetu JPM, najiuliza hivi tunahitaji rais wa aina gani. Huyu ndugu ameonesha nia dhahiri ya kupambana na kuipeleka Tanzania katika hali bora zaidi, kinachotakiwa ni kumuunga mkono na kumpa moyo, nasikitika kuona baadhi yetu wakigeuka kuwa watabiri kuwa ooo huyu atakwama nk nk, tumwache afanye kazi na tumpe ushirikiano, bla bla hazitatusaidia

kama ni tanzania aanze na hapo zanzibar sio maigizo kitu cha kawaida sana tv zote,magazeti,radio kila saa ukiuliza eti vitanda,kama hakuna dawa na mashine ni mbovu vitanda ni vya mama wajawazito basi na dar peke yake na yeye ndo kaona hayo wengine wa nyuma walikuwa hawaoni,
 
Mimi sishangai kuwa pamoja na kazi nzuri ya mhe.Presdaa bado kuna watu wanampinga.Hiki ni kitu cha kawaida mno kwani katika nchi yenye watu zaidi ya milioni 45 usitarajie wote wakamuunga mkono maana kitakuwa kituko. Hata Yesu kristo alifanya mambo mema mno enzi zake lakini bado kuna watu walimkataa. Cha kutia moyo ni kuwa wanaompinga presdaa ni wachache mno na hao wachache wanaongozwa na wivu tu maana wanaona akifanikiwa wao hawatakuwa na cha kujionesha mbele ya jamii kama mafanikio yao, yaani kwishney! Chapa lapa mbele mhe.presdaa!
 
Hotuba ya Magufuli ina nini kipya? Sethi Benjamini alikufa kwa kutembea kilometer kibao kuunga mkono hotuba ya JKN kuhusu Azimio la Arusha! Huyu ambaye ameingizwa madaraka kwa mtutu wa Bunduki na Wizi wa Kura wamuunge Mkono kwa lipi? Futuhi la Vitanda? Kutekeleza Sera za Africa Mashariki kuhusu Safari za Nje? Maisha ya Watanzania kuwa Mazuri ghafla? au Umeme wa power bank?

Kweli wewe ni Mpumbavu na Lofa ...ina maana mpaka saizi bado hujamkubali Magufuli? Hata Kama ameingia kwa njia unayosema wewe mpumbavu. Sisi tunataka Maendeleo sio upumbavu na Ulofa wako. Kwa hiyo wewe ulitaka Nani Awe Rais wa nchi hii ya Wanyonge? Mimi ni mwanajeshi maneno kama hayo yanavunja Amani ambayo tunailinda kwa Nguvu zetu zote.. Ninge kufahamu saizi ungekuwa Jehanamu.
 
soma ulichoandika ndo ujue amani inaanzaje kuvunjwa au pengine hujui amani ni nini
 
Hatuhungi mkono porojo, kila mtu anaweza kuongea, na uhalali wa yeye kuwa hapio na kuongea unatoka wapi? angekuwa msafi asingekubali kukalia kiti kisicho chake

Watanzania tumempokea magufuli kwa moyo mmoja na tunamuunga mkono katika kutumbua majipu amabayo yalikuwa yanaogopwa na watangulizi wake.
 
Ukimuunga wewe mkono inatosha
Hata kama ukiwa haupendi kiukweli magufuli anakubalika na wananchi wa hali ya chini waliokuwa wanadhulumiwa haki zao. Ndani ya muda mchache ameinyesha kuwa nu mtetezi wa wanyonge.
 
Back
Top Bottom