Tuwaeleweje hawa wanaume wanaojichubua, kuvaa modo, kusuka na kutoboa pua?



Naona unakosea kidogo ku-generalize wanaume wa Dar na wengineo, si wote tuko huko. Asilimia kubwa ya wanaume wa Dar ni mboga a.k.a. samaki kwa sababu wanabinduliwa na kubindua na kama ukizoea haka kamchezo lazima utajikuta siku unamuiga dada ama mkeo kujichumbua kisha mnaanza kugombania vioo ndani ya nyumba. Pole kwa kuumizwa na umpendaye aliyesuka nywele na kujitoboa pua.
 
Maadili ya vijana yameshuka sana sasa hivi

Hofu ya Mungu imetupotea kabisa!!

Umagharibi umetutawala sana!

Sasa hivi social media ndo zinatulea kwenye kila nyanja!


Nchi za magharibi kuwa ms.enge ni trend na unaheshimika, huku Bongo wanaume wa Dar wanalazimisha use.nge/ushoga ili wauze sura mitandaoni na kupewa misaada na wazungu watalii.
 
hivi mnajisikiaje kuona hao wanaume wenzenu wakiwa hivyo?
 
Nchi za magharibi kuwa ms.enge ni trend na unaheshimika, huku Bongo wanaume wa Dar wanalazimisha use.nge/ushoga ili wauze sura mitandaoni na kupewa misaada na wazungu watalii.
ndo tatizo hilo sasa!!

kizazi kimeharibika sana hk!
 
We jitahid kumlea mtoto wako vizur coz na umombee Dua mana hayo mambo hayatabiriki
 
Hawajitambui, mavazi ya modo, kusuka nywele kwa wanaume, kutoboa sikio moja na kujichubua ni vitu vinavyofanywa na mashoga huko Ulaya na Marekani kama utambulisho kwa wanaowanunua. Huku bongo wanaona ni fashion na wanaotoka Marekani wakiwaona wanajua wanajiuza na ndio maana Amerika inashinikiza sheria ya ushoga sababu ya hawa wajinga wachache.
 
Hata vibint vyenyewe navyo micharuko mitupu, sasa sijui familia za kizazi kijacho zitakuwaje. Mama mcharuko, baba mpaka poda na mvaa nguo za kike, mtoto...
 
Yaani inasikitisha sana....utakuta kijana anapoteza muda wake wote kutafuta namna ya kutoka ili tu awe kituko mtaani. Kuna wanaounywa maji ndoo nzima ili wawe weupe kama wazungu.
ni shida haswa sasa hivi wanaume wanajichubua vibaya sana!
 
Hivi ni link utatuacha maana so kwakutuandama huku kila kitu kwa wanaume kwako kibaya so sad
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…