Sipimii ile nyomi kwenye uwanja wa mpira kama wa mkwakwani tanga , hawa jamaa wanapiga pesa ya kufa mmasai.... Muuza chips tanga nimeona tra wamemkazia kumpa efd mpaka akaamua kuhama eneo la kazi... Iweje kwa hawa wajanja wajanja wanaofunga mamilion ya shilingi kwa masaa machache tu
SASA WAO SI WANAONGEZA KIINGILIO TU...MWISHO WA SIKU,MZIGO NI WENU CONSUMERS
Waongezeewasiongezee wanaoingiaa wapewe efd resit!
!
Mwisho wataisoma na wao vema.
Yaani wabongo mawazo yao ya ajabu sana. Sasa mtu anakomolewa vipi kutoa risiti?SASA WAO SI WANAONGEZA KIINGILIO TU...MWISHO WA SIKU,MZIGO NI WENU CONSUMERS
Fungua uzi uelezee hiyo kero ila hapa tunazungumzia kodi kwa kila atakayeshiriki fiesta.Sawa mbona tunaombwa tena tuchangie baadhi ya huduma! kama madawati ya wanafunzi, kwa nini hizo kodi tunazotoa zisifanye hizo Mambo kwa wakati unaofaa?
Wakipandisha kiingilio watu watakuwa wachache, hata hivyo cha muhimu ni kulipa kodi tu.SASA WAO SI WANAONGEZA KIINGILIO TU...MWISHO WA SIKU,MZIGO NI WENU CONSUMERS
Kweli mkuu, ila hao watakaoenda walipe kodi ya tamasha.CLOUDS NI CCM B
KAMA MWANA UKAWA HAKUNA KWENDA KWENYE MATAMASHA YAO.....WENGINE SISI HIYO FIESTA HATA SIJUIIII
matamasha ya clouds yanatend kuwa na Inelastic Demand(Athari ya Ongezeko la Bei Ni ndogo katika uhitaji wa ile huduma)..Wakipandisha kiingilio watu watakuwa wachache, hata hivyo cha muhimu ni kulipa kodi tu.
MUUZA CHIPS,MUUZA KARANGA,MZIBUAA VYOO,MAMA NTILIE,MMWENYE DUKA MTAJI WA LAKI TANO ETC,HAWA NDIYO UTAKUTAA WATABANWA NA WANABANWAGA KUHUSU KUWA NA EFD........Kweli mkuu, ila hao watakaoenda walipe kodi ya tamasha.