Tuwadai Clouds Fm risiti za EFD...Wamezidi kujipendekeza

Tuwadai Clouds Fm risiti za EFD...Wamezidi kujipendekeza

Elimu buree siomchezo azikuwepo KWENYE bajeti

Tunaitaji madawatii....mh Rais tunaombaa haya matamasha yoote NA sioo cloudsfm tu waanze tumia Efd Machine

Nawaza kwanini vlabu vya usiku visitumie efd machine pia ??
Naona Sasa imekuwa msemaji wa kamishna wa TRA
 
Mtoa mada umesema jambo la mbolea sana.. Kwenye hayo matamasha hawa wajinga wanapiga pesa sana na serikal haipati kodi yake.. Kiukwel hawa jamaa wakatwe tu

!
!
Wapigaji sana hawa. Wanajikomba sana, tuwadai efd waonje machungu.
 
Sipimii ile nyomi kwenye uwanja wa mpira kama wa mkwakwani tanga , hawa jamaa wanapiga pesa ya kufa mmasai.... Muuza chips tanga nimeona tra wamemkazia kumpa efd mpaka akaamua kuhama eneo la kazi... Iweje kwa hawa wajanja wajanja wanaofunga mamilion ya shilingi kwa masaa machache tu
 
Elimu buree siomchezo azikuwepo KWENYE bajeti

Tunaitaji madawatii....mh Rais tunaombaa haya matamasha yoote NA sioo cloudsfm tu waanze tumia Efd Machine

Nawaza kwanini vlabu vya usiku visitumie efd machine pia ??

!
!
Ila hawa clouds kwa figisu wanaweza kukwepa hili la efd kwenye fiesta. Fiesta 2016 efd imooooo.
 
Back
Top Bottom