Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,957
Mkuu kwani ni nani huyo???Yerewiiiii....
Yaani si mbunge tu na lichama lake la kijani nalo halipati hata uambasado wa house ten ten MziziMkavu
Yerewiiiii....
Yaani si mbunge tu na lichama lake la kijani nalo halipati hata uambasado wa house ten ten MziziMkavu
Oppositions bado wanasafari ndefu sana kwanza jazba inawaponza hata km wana point zinayeyuka,pili tamaa ya madaraka Ukawa haijatulia itasambaratika soon, tatu hawajaweza kuconvince uma hasa vijijini wanaonekana ni watu wa maandamano na vurugu tu. Unless they change this wakawa more strategic kitu gani tofauti watakifanya wakiingia ikulu other wise is a a day time dream. They have more negatives than positives.This is my own perspective i don't represent any group or other people's opinion
sure it is your own perspective...the English were so damn smart to include the world "coincidence" in their vocabulary..therefore it is a coincidence that you think like CCM dudes think...but then this is my own perspective
Tunataka maendeleo na wala sijatetea CCM labda hukunielewa. Opposition wanalalama sana na kutumia a lot of power hata wakiongea sentensi moja, na jazba zimewajaa sana hiyo haiwasaidii. They can present issues bila kupayuka sana wala kuwa na jazba nyingi pengine ingesaidia hata wananchi wengi kuwakubali. As it is now, bado safari ni ndefu kukubalika. :spy: