Tuwachore..................... .........

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,957
kp16042015.jpg
 
Hehehe...kwa hiyo ACT ni kajibwa koko kanakoikoromea CDM ambayo ni dubu...
 
Kiongozi..........nakuheshimu...no matter what.....

Jengeni chama chenu. Umri na Ukubwa wa chama chenu haufanani na CCM au CHADEMA au CUF au NCCR Mageuzi. Hiyo picha ina potray ukweli kabisa. Msidhani kufurika kwa wananchi kwenye mikutano yenu ndio fanbase yenu. Hao watu wanatoka CCM, CHADEMA na vyama vingine. Labda kama mwataka kivimbishwa kichwa...
 
Hata hao wanaofurika huko CDM wanatoka CCM, CUF, ACT na vyama vingine.
 
Hapa sasa CCM wamefanikisha mbinu yao ya divide and rule.
 
Jengeni chama chenu. Umri na Ukubwa wa chama chenu haufanani na CCM au CHADEMA au CUF au NCCR Mageuzi. Hiyo picha ina potray ukweli kabisa. Msidhani kufurika kwa wananchi kwenye mikutano yenu ndio fanbase yenu. Hao watu wanatoka CCM, CHADEMA na vyama vingine. Labda kama mwataka kivimbishwa kichwa...

Umetumia wingi as if mimi ni mmoja wao....
 
Masoud japo uko kwnye Mrengwa wa CHADEMA usitumie vibaya Kipaji chako kufanyia Siasa kwnye kwnye kazi yako .

Naipenda saana kazi yako ila kwa hilo so vyema nikakuambia ukweli unakosea
 
Amekosea nn sasa amekosea kwa jini alivyopatia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom