Tuwachore.............

Tuwachore.............

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,957
KP31032015.jpg
 
Ngoja nitukane mara ya mwishomwisho kabla haijapitishwa.
 
Hicho kipanya ni Serukamba na anasifia wakati hilo jasusi likimnyemelea kumkata panga maana wote wako kizani
 
Yaani Kipanya anaifagilia hii sheria au kuna kitu sijakielewa hapa.

Tiba

Unajua mkuu watu wanaiangalia na kuipinga sheria hii kwa mlengo mmoja wa siasa. Wanasahau ule mlengo mwingine unaohatarisha afya ya jamii. Na ndipo hapa Kipanya anaunga mkono....Tumieni mitandao hii vizuri....otherwise na mm namsihi rais atie saini.

Udini umekothiri sn mitandaoni. Watanzania tumelewa uhuru wa habari na ss tunapayuka tu. Umesahau kuna watu walifikia hatua ya kumzushia kifo mama Nyerere? nk
 
Tusifkr tukiwa ndani ya boksi,tunazo sheria nyng na bado maovu yanazd,suala ni kutengansh siasa na uteklezaji,hebu jiulz unaweza kuzushia mtu kifo na isiwepo sheria yyote itakayokutia hatian?
 
Hii imeletwa maalum kuelekea uchaguzi mkuu. Jamaa wanasoma alama za nyakati
 
Sijui kama jamiiforums itanusurika mana kuna imani 1 humu inaona kama wapo kwenye nyumba yao ya ibada
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom