TUWACHORe

TUWACHORe

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,957
10376750_529261957180523_9168452821699971803_n.jpg
 
Alichokosea kipanya ni kuwa wanaosubiri msosi wamevaa malapulapu wakati huo msosi ni spesheli kwa wavaa suti,yakhe kama mimi hivyo vitalu vya gesi tutavisikia tu radioni,hata Mzee Machache kaambiwa na profesa muhogo aanze mbele.Ila naye Mzee Machache balaa kila keki ya taifa naye yumo alianza Kilimanjaro hotel wakamtosa,akaja kwenye Tanzanite akapata na sasa kwenye gesi anpigwa kibuti.
 
Hapo watasubiri hadi moto uishe jikoni
 
Ugali gesi utaiva, swali je wadanganyika watapewa wale au utabinafsishwa?
 
Huu msosi atakapokuwa umeiva hao wanaosubiri kula watakuwa wamekufa njaa
 
Aaaahh babu wee situmii teena kuni mie :smile-big::smile-big::smile-big:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom