Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
Kweli wewe ni zero,sasa hapo ni nini usichoelewa?………???!!!
Ndiyo nini mkuu?hii ni balaa sasa maiyi yupo hai au deiwaka..
Mkuu watu huwa wanatoka,Mungu ni mkubwa!Kama ni kuwachora tu sawa ila katika hali ya kawaida hapo hatoki
Mkuu watu huwa wanatoka,Mungu ni mkubwa!
Hakika Mungu anaweza kukuponya,pale ambapo binadamu hawezi kuamini!
Mkuu watu huwa wanatoka,Mungu ni mkubwa!
Jamaa yupo anapeta tu mtaani,alilipa faini ya milioni kadhaa tu!Acheni hii hizo hili ni dongo kukumbushia iliyowahi tokea na ilikua inamhusu mwana"sihasa" flani hivi!!!!!!hivi ile ishu ilifikia wapi wakuu?
Pale upeo wa kufiri wa binadamu unafikia kikomo,ndiyo mwanzo wa utukufu wa Mungu!kweli kabisa mkuu, mwacheni Mungu aitwe Mungu.
Mkuu biblia inatufundisha kwamba Mungu yupo mahali pote!Pichi iliyochwa inaonyesha uhalisia wa maisha yetu!Tukutuku unamtaja Mungu wakati ni mchoro tu huu?
Mkuu usishangae,huu ndiyo utukufu wa Mungu!Hahahaha
Mkuu ajari inaweza kukunusuru mbaka ukabaki mdomo wazi!dah jamaa katoka safi kabisa na suti imenyoka ready kuingia kwenye kikao cha madiwani.