Ndio maana mnaambiwa tulieni mpaka mje kuolewa,hiyo shida unaipata kwa sababu ya kutest test wanaume tofauti,lakini ingekuwa huyo ndio wa kwanza wala usingeona hiyo ni shida...Jamani kuna nyie wanaume wapole kupita kiasi yaan wapole sana tufanye nin ili angalau muwe kawaida
Unakuta mwanaume ndo imeshatokea mnamahaba sasa ila hajiongezi yupoyupo hana michezo ya ajabu yaan hana maajabu yoyote
Yaan mpaka kuna mda mtu unahisi yan hapa nilijitongozesha maana unakuta kijana kimya ela ndo mdomo wake kila unachomwambia anasema sawa habishi hakatai ukisalimia anajibu hana nyongeza ya neno
Ukileta utani kidogo anacheka haongez utanimwengine yaan utajikuta umegeuka kiredio chake kama Huna story mnaweza mkakaa kimya adi mnuke midomo
Huyu mwanamme mpole anachojua ni kufunuana usiku tu aibuuu anazo yeye upole anao yeye yaan inagharimu furaa yoote mtu uliokuwa nayo
Ndio tunapenda wanaume watulivu lakin utulivu ukizid ni keroo
Sasa tuwachangamsheje jaman angalau mlete hamsha hamsha
Na kubanduana anakuwa mpole, style ile ile kile siku, anakuongolesha kwa upole...Jamani kuna nyie wanaume wapole kupita kiasi yaan wapole sana tufanye nin ili angalau muwe kawaida
Unakuta mwanaume ndo imeshatokea mnamahaba sasa ila hajiongezi yupoyupo hana michezo ya ajabu yaan hana maajabu yoyote
Yaan mpaka kuna mda mtu unahisi yan hapa nilijitongozesha maana unakuta kijana kimya ela ndo mdomo wake kila unachomwambia anasema sawa habishi hakatai ukisalimia anajibu hana nyongeza ya neno
Ukileta utani kidogo anacheka haongez utanimwengine yaan utajikuta umegeuka kiredio chake kama Huna story mnaweza mkakaa kimya adi mnuke midomo
Huyu mwanamme mpole anachojua ni kufunuana usiku tu aibuuu anazo yeye upole anao yeye yaan inagharimu furaa yoote mtu uliokuwa nayo
Ndio tunapenda wanaume watulivu lakin utulivu ukizid ni keroo
Sasa tuwachangamsheje jaman angalau mlete hamsha hamsha
Tafuta mwenza wa nyota Yako...yaani mnaye endana.,.....Kuna watu wa nyota Fulani wanamtaka wa hivyo wamemkosa....siku hizi tunabebana TU bila kujali haya mambo,,, zamani walizingatia haya.Jamani kuna nyie wanaume wapole kupita kiasi yaan wapole sana tufanye nin ili angalau muwe kawaida
Unakuta mwanaume ndo imeshatokea mnamahaba sasa ila hajiongezi yupoyupo hana michezo ya ajabu yaan hana maajabu yoyote
Yaan mpaka kuna mda mtu unahisi yan hapa nilijitongozesha maana unakuta kijana kimya ela ndo mdomo wake kila unachomwambia anasema sawa habishi hakatai ukisalimia anajibu hana nyongeza ya neno
Ukileta utani kidogo anacheka haongez utanimwengine yaan utajikuta umegeuka kiredio chake kama Huna story mnaweza mkakaa kimya adi mnuke midomo
Huyu mwanamme mpole anachojua ni kufunuana usiku tu aibuuu anazo yeye upole anao yeye yaan inagharimu furaa yoote mtu uliokuwa nayo
Ndio tunapenda wanaume watulivu lakin utulivu ukizid ni keroo
Sasa tuwachangamsheje jaman angalau mlete hamsha hamsha
Imeshafika mbonaπ, sharti uwe na utulivu mambo ya kutaka mawili Moja litakushinda.zamu yangu inakaribia sio?? π
akiamua kutafuta aliyechangamka ajue tu hatokua wake peke yake πMpe muda,huna haja ya kufanya juhudi zozote
Kama itatokea yupo hivyo,itabidi umzoee kuishi nae vile alivyo...si unaelewa kuna binadamu tofauti tofauti kitabia?
Kufunuana si anapatia lakini?ama hata huko aibu zimemjaa?
Ila majibu ya huyu mrembo yananiachaga hoi Sana wallah.Muhimu anajua kufunuana usiku
Hayo mengine ya kuchangamka atachangamka akikuzoea sana
Kiukweli hata mie mwanaume mpole simpendeleiKweli wanawake tunajitafutiaga kulia wenyewe unawataka wanaume waliojanjaruka π€£π€£π€£
Kabisaaakiamua kutafuta aliyechangamka ajue tu hatokua wake peke yake π
ewaaaπ mapenzi ya dotcom raha sanaπImeshafika mbonaπ, sharti uwe na utulivu mambo ya kutaka mawili Moja litakushinda.
tatizo mnaangalia sana muvi za kihindi na kikoreaπKabisaa
Kama yeye amechangamka sio mbaya akawa na mwanaume mtulivu
Mnakaa kama mabubu mnaangaliana tuKiukweli hata mie mwanaume mpole simpendelei
Mie mwenyewe nna aibu za kutosha,nikipata wa kama mimi si hakuna jambo tutafanya?
Hahahah kama yanakuachaga hoi in a good way am glad πIla majibu ya huyu mrembo yananiachaga hoi Sana wallah.
Wakorea na wahindi wanatutoa uhalisiani sio? πtatizo mnaangalia sana muvi za kihindi na kikoreaπ
Unaona sasa πMnakaa kama mabubu mnaangaliana tu
ππππewaaaπ mapenzi ya dotcom raha sanaπ
haya sasa nikuone na Gily nitakupasua πππππ