Jindal Singh
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 1,857
- 1,538
Salaam...
Wakuu nimeamua kuleta huu uzi ili tujadili mustakabali wa account zetu pindi muda wa kuishi duniani utakapofika. Ni vema sisi kama wasomi amboa wengine ndio wao pekee waliobaki katika familia na hata ktk jf na wengine tumezoeana kwa post na coment mbali mbali japo kwa kutumia ID fake. Mimi katika kuhakikisha kuwa ID yangu itabakia milele na kuwa up to date katika jf, nimeanza kumrishisha mwanangu ID yangu na kuwa nae pamoja pindi ninapokuwa katika mtandao na kumfundisha maisha yangu pindi ninapokuwa katika mtandao na kumsisitizia kuwa haya ndio maisha yako pia pindi nitakapotoweka duniani na kumwambia ficha ID yako na usimwamini mtu!.