Tuwaambieni ukweli viongozi wetu!

Tuwaambieni ukweli viongozi wetu!

Lanlady

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2019
Posts
1,913
Reaction score
6,524
Kuna wakati huwa natafakari na kufanya tathmini; nadhani kuna ukweli kwa kile ninachotafakari!

Viongozi wengi wa kisiasa hudhani kwamba watanzania hawajui chochote. Wanadhani kwa kuwa wao hawakuwa na fursa ya kujua mambo mengi enzi hizo wanaishi vijijini, basi wanadhani hata sasa hali ni ileile!

Siku fulani nilikuwa kwenye gari ya umma tunasafiri huku (mkoani), nikawa nazungumzia masuala ya kisiasa, baba mmoja akasema kwa kustaajabu "kumbe hata watanzania wa kawaida wanajua kinachoendelea!"
Alionekana kama vile ni mtumishi fulani wa serikali kwa haiba yake. Sikutaka kujieleza sana!

Kwahiyo kama viongozi wanadhani wananchi waliowafahamu hapo kabla ndio hawa wa leo, basi wanajidanganya!

Kuna wasomi wa vyuo vikuu wako huku vijijini wanasubiri ajira. Kuna vijana waliomaliza elimu ya sekondari (shule za kata) wapo mtaani na wanafuatilia kila kinachoendelea.

Ingawaje serikali inawarubuni kucheza kamari kwa kuruhusu biashara ya kubet, na kuhamasisha unywaji wa pombe; bado wapo wachache wanaojitambua!

Nchi ni yetu sote!
 
Watanzania wengi hawajui nchi ina mipango gani wala hawafuatilii kwa kina mipango ya serikali. Na ukiwa rais wa nchi hii ukiwasikiliza sana wananchi hutaongoza utaishia kukwama tu. Dawa ni kusonga mbele muhimu ujuwe dhamira yako na baraza lako la mawaziri mpo pamoja. Watanzania wasubiri matokeo tu.
 
Soma andiko langu upya.

Hata hivyo kama wandhani kuwa hawajui mipango ya nchi, basi hakuna sababu ya kuwapa elimu ya katiba!
Waamue vile wanavyoona inafaa!

Nikwambie tu, ukweli ni kwamba kila mnyonge na mnyonge wake. Raia wanachukia sana watumishi wa umma(serikali) walio karibu nao kama vile walimu, askari! Wanadhani wao pia wanahusika kwenye kufanya maamuzi serikalini
 
Hivi nikuulize Nyerere hakuona Umuhimu wa kubadili katiba? Mwinyi ? Mkaba ? Kikwete ? ( mchakato ukaishia njiani) Magufuli? Jibu ni kuwa Katiba siyo tatizo la msingi la shida za watanzania. Wanasiasa wapinzani wanadai katiba kwa lengo la kuwasaidia kuingia ikulu ( wanadhani itawasaidia) lakini kiuhalisia katiba ina mambo mengi ya kuweza kuwasaidia wananchi ambayo hayajadiliwi wala wananchi hawana elimu nayo. Serikali ipo sawa elimu inahitajika.
 
Anayekubari kuambiwa ukweli ni shetani kuwa alikupitia ila mwanadamu atakupitia tena ccm
 
Hivi nikuulize Nyerere hakuona Umuhimu wa kubadili katiba? Mwinyi ? Mkaba ? Kikwete ? ( mchakato ukaishia njiani) Magufuli? Jibu ni kuwa Katiba siyo tatizo la msingi la shida za watanzania. Wanasiasa wapinzani wanadai katiba kwa lengo la kuwasaidia kuingia ikulu ( wanadhani itawasaidia) lakini kiuhalisia katiba ina mambo mengi ya kuweza kuwasaidia wananchi ambayo hayajadiliwi wala wananchi hawana elimu nayo. Serikali ipo sawa elimu inahitajika.
Tubaki nayo tu hii kama ilivyowasilishwa! Yana mwisho wake hayo yote!
Screenshot_20230913-203617.jpg
 
Hivi nikuulize Nyerere hakuona Umuhimu wa kubadili katiba? Mwinyi ? Mkaba ? Kikwete ? ( mchakato ukaishia njiani) Magufuli? Jibu ni kuwa Katiba siyo tatizo la msingi la shida za watanzania. Wanasiasa wapinzani wanadai katiba kwa lengo la kuwasaidia kuingia ikulu ( wanadhani itawasaidia) lakini kiuhalisia katiba ina mambo mengi ya kuweza kuwasaidia wananchi ambayo hayajadiliwi wala wananchi hawana elimu nayo. Serikali ipo sawa elimu inahitajika.
Hiyo shida ya msingi ya watanzania mtalimaliza lini Kwa Katiba hii mbovu ambayo ndiyo inawaletea hizo shida?!
 
Hivi nikuulize Nyerere hakuona Umuhimu wa kubadili katiba? Mwinyi ? Mkaba ? Kikwete ? ( mchakato ukaishia njiani) Magufuli? Jibu ni kuwa Katiba siyo tatizo la msingi la shida za watanzania. Wanasiasa wapinzani wanadai katiba kwa lengo la kuwasaidia kuingia ikulu ( wanadhani itawasaidia) lakini kiuhalisia katiba ina mambo mengi ya kuweza kuwasaidia wananchi ambayo hayajadiliwi wala wananchi hawana elimu nayo. Serikali ipo sawa elimu inahitajika.
Kizazi hiki na kile kuna tofauti kubwa,sheria zinabadilika kila mwaka,teknolojia mpya inaingia kila siku halafu unasema hao wote hawakuona umuhimu? Hivi katiba ikibadilishwa kuna tatizo gani?hao wanasiotaka katiba mpya wanaogopa nini kama siyo hao wazee wa zamani wanalinda maslahi yao?
Usiwe punguani kiasi hicho.
 
Kizazi cha utawala wa magufuli na hiki cha utawala wa samia kina tofauti gani?
 
Hivi nikuulize Nyerere hakuona Umuhimu wa kubadili katiba? Mwinyi ? Mkaba ? Kikwete ? ( mchakato ukaishia njiani) Magufuli? Jibu ni kuwa Katiba siyo tatizo la msingi la shida za watanzania. Wanasiasa wapinzani wanadai katiba kwa lengo la kuwasaidia kuingia ikulu ( wanadhani itawasaidia) lakini kiuhalisia katiba ina mambo mengi ya kuweza kuwasaidia wananchi ambayo hayajadiliwi wala wananchi hawana elimu nayo. Serikali ipo sawa elimu inahitajika.
Mnaposema shida ya watanzania siyo katiba mpya kwa sasa hizo shida zingine mtamaliza lini ,mbona mnawaza kwa makalio hivo
 
Nukuulize swali leo hii ukipata katiba mpya itakuwa imekutatulia shida gani moja kubwa inayokusumbua?
 
Kuna wakati huwa natafakari na kufanya tathmini; nadhani kuna ukweli kwa kile ninachotafakari!

Viongozi wengi wa kisiasa hudhani kwamba watanzania hawajui chochote. Wanadhani kwa kuwa wao hawakuwa na fursa ya kujua mambo mengi enzi hizo wanaishi vijijini, basi wanadhani hata sasa hali ni ileile!

Siku fulani nilikuwa kwenye gari ya umma tunasafiri huku (mkoani), nikawa nazungumzia masuala ya kisiasa, baba mmoja akasema kwa kustaajabu "kumbe hata watanzania wa kawaida wanajua kinachoendelea!"
Alionekana kama vile ni mtumishi fulani wa serikali kwa haiba yake. Sikutaka kujieleza sana!

Kwahiyo kama viongozi wanadhani wananchi waliowafahamu hapo kabla ndio hawa wa leo, basi wanajidanganya!

Kuna wasomi wa vyuo vikuu wako huku vijijini wanasubiri ajira. Kuna vijana waliomaliza elimu ya sekondari (shule za kata) wapo mtaani na wanafuatilia kila kinachoendelea.

Ingawaje serikali inawarubuni kucheza kamari kwa kuruhusu biashara ya kubet, na kuhamasisha unywaji wa pombe; bado wapo wachache wanaojitambua!

Nchi ni yetu sote!
Ni kweli ni nchi yetu....

Faida kubwa ni USALAMA NA UTULIVU wa kuendelea kuuza mihogo huku mitaani....

Maisha ni vita.....

Nilipokuwa chuo kikuu nilifundishwa kanuni nyingi kuhusu utawala ,watawala na wananchi....

Leo nimegundua kuwa MENGI ya yale HAYATEKELEZEKI....

Silaumu viongozi...
Siilaumu serikali....

Bali naendelea kujisoma....nafsi yangu na ninaishi duniani kwa lengo gani ......

Alhamdulillahi niko Tanzania na si Sudan ,DRC wala Burundi

#SiempreJMT

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Nukuulize swali leo hii ukipata katiba mpya itakuwa imekutatulia shida gani moja kubwa inayokusumbua?
Ni jibu usiniulize swali,maana huna hoja,unaogopa nini kuruhusu katiba mpya maana hivo vipaombele ya wananchi hamna mnachofanya
 
🤣🤣🤣🤣 .unaona sasa kumbe hata hujui kwanini unataka katiba mpya. Sasa wewe ni mfano wa wengi waliopo humu JF kupiga kelele kuhusu mabadiliko ya katiba. Elimu elimu elimu ya katiba inahitajika sana.
 
Awamu ya 3 ninavyokumbuka
Kwahiyo kuanzia kwa kikwete huoni tofauti,jibu hoja siyo unakurupuka,hapo juu ilimjibu mdau kwamba kina Nyerere na mwinyi hawakuona umuhimu wa kubadili,nikasema kizazi kile na sasa ni sawa?unaanza kikimbia kimbia tu, mnakuwaga na mawazo mgando maana huna hoja ya kukataa katiba mpya
 
Jibu swali unadhani katiba mpya itakusaidia jambo gani moja tuu unaloona ni la muhimu kwako?
 
.unaona sasa kumbe hata hujui kwanini unataka katiba mpya. Sasa wewe ni mfano wa wengi waliopo humu JF kupiga kelele kuhusu mabadiliko ya katiba. Elimu elimu elimu ya katiba inahitajika sana.
Nye ndo vibwengo vinavyolinda maslahi yao binafsi ndo maana huna hoja ya kujibu
 
Back
Top Bottom