Basi hata kule kwa kafulila wananchi wangeandamana kupinga Mwilima kupewa ushindi!Upinzani ungekuwa hauna hoja basi hata kwa Baba je...... madiwani wa chadema wasingeshinda kwa kishindo
Thread yako ndio ina vibwagizo, haina hoja ya msingi.Basi hata kule kwa kafulila wananchi wangeandamana kupinga Mwilima kupewa ushindi!
Jadilini hoja ya msingi sio kuleta vibwagizo
Hivi hao wanaotetewa na CHADEMA kwanini hawajakamatwa na kufunguliwa mashtaka?Chadema kimekuwa chama cha kutetea mafisadi, majambazi, wakwepa kodi, majizi, watukana matusi mitandaoni.!!
Laana ya kubadili gia angani inawatafuna .
Na bado.
Lisu yuko jela Leo.Hivi hao wanaotetewa na CHADEMA kwanini hawajakamatwa na kufunguliwa mashtaka?
Kwa watukana matusi basi Lumumba mnaongoza.
Ninamjadili mleta mada kutokana na jina la mleta mada linaakisi mada yake ilivyo.Mkuu wa special Diploma jadili mada sio mleta mada!
Lisu yuko jela Leo.
Mtanyooka tu
Mwanasheria uchwaraKama umezaliwa familia ya mboga 7 jela utaona kama kuzimu, lakini wengine jela ni kama Disko...kuingia ni kawaida.