Tuunganishe dots utekwaji wa Mo Dewji

Chaguo la mungu
 
Cha kwanza kabisa alimshukuru MHESHIMIWA RAIS
 
Tulikua tunazodoa waliopita walipo uza maliasili zetu, wakageuza Tanzania shamba la bibi.

Wacha tutekane na kukwapuana mali.

Tuna uhaba wa bujeti, pesa haijawai kutosha lakini hatujawai fikia sehemu baba anamteka mtoto wake ili amzulumu
Utafute uzi wa Mshana Jr ndio utajua huyo mtoto hakuwahi dhulumu vitu vya baba yake?? Na kufanya uharibifu mkubwa wa mali na maisha ya watoto wengine.??
 
Yeye kama Mwl Nyerere hakulipa....ila Tanzania ililipa, inalipa na itaendelea kulipa.
 
Yeye kama Mwl Nyerere hakulipa....ila Tanzania ililipa, inalipa na itaendelea kulipa.
Kwa hawa waliomfuatia ni kweli ililipa..inalipa na itaendelea kulipa hata deni likiisha!

Uko mbali san a au umeelewa ulivyo elewa!
 
Write your reply...
hii nchi bila ubabe huwezi kuiongoza, ni lazima itakudodea!
 

Mistari yako ni hakika. Nilimwambia MTU dhana ya kua ccm wamemtajirisha kijana sasa wanamgeuka. na habari 90,000 skua nayo. wala korosho. Ndio maana Ndungai anapiga ribit wabunge kwenye swala la hela za korisho

1. Hii ni hatari na aibu sana kwa nchi. Yani ametupunguza hadi nafasi ya chini kabisa. Wajibu wake wa kwanza ni Welfare of the people. Anavurunda credibility ya Bongo kulia na kushoto.

2. Bilioni 10, sinakosekanaje wakati Korosho wakulima wamekwisha katwa gharama za magunia kwenye mauzo. Ukiongezea kua Magufuli anaziwia Bilioni 200 za Wadau wa Korosho.

3. Aliahidi kupambana na Ufisadi. Fisadi kageuka yeye. Kuna msemo unasema "Kimburu akisikia vifaranga vinalia, huja akikimbilia, lakini sio kusaidia"

Mambo ya aibu na kusikitisha. Tafadhali asiteke mtu mwingine yeyote, hakuna mtuhumiwa mwimgine zaidi yake.

Katiba iliyopo hii inamshinda kulinda, ilhali imempa nguvu zisizo kawaida. hiyo inayopendekezwa atakubali? Nchi hii haiwezekani kuongoza bila kufuata katiba. Nadhani hili anatakiwa aelekezwe. Intellectually hawezi kuelewa katiba au niseme haielewi.
 
Hivi Serikali inashindwa kumchukua nani na kumsweka lupango mpaka ipie risasi juu 2 then imshikilie mateka..? Mwenyewe alisema wale watu walihitaji hela kwanini wewe bado unashinikiza magunia? Ingekuwa Serikali ina mkono tungemuona Makamba akihaha kutoa ufafanuzi kweli kuwa naye kahojiwa? tena Waziri ofisi ya Makamo wa Rais Muungano na Mazingira.
 
Mo katekwa karibia na ofisi ya kitengo nyuma pale dr. ulimboka anapajua,leo nasikia shilling imettetemeka mbele ya dola
 

Swala unamkamata kwa grounds zipi?
 
Hii ina maana serikali yetu imefulia hta billioni 10 za kumlipa mo hawana!!

Alivyosema kwenye serikali yangu tajiri anaweza kufanywa chochote hata Mo alivyopotea sikua na Mda nilijua atarudishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…