Tutunze amani yetu Iran watu wanakufa huko

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
33,977
Reaction score
67,611
Guys,

Tulinde amani yetu jaman wengine sisi hatuwezi kukimbia wala kushika bunduki nimeingia telegram now baada ya kuona notification nyingi ndipo nikakuta nimeungwa kwenye group la watu wa iran mimi nikaandika sielewi kitu hapa nimefikaje.

Akaja mtu bobo akaaza kuniambia kuhusu iran nikajua ni tapel kumbuka hapo tuna chat english nimesikitika sana ni kijana mdogo wa miaka 20 hana tumain la kuish tena naogopa kuambatanisha screen shoot hapa nisijee bebwa mkuki mkuki.

Lengo langu ni kuwa kuwa ambia kuwa tutunze amani yetu kama mtu anataka vurugu aende iran au asubilie mimi na familia yangu tufe ndio azishe furugu.

Vuta picha watu wanakufa bila hatia na watoto wadogo [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] so sad why this happen there are people who so selfsh.

Tuilinde amani yetu hakuna mtu atakae toka marekani kuja kutulindia hii amani.
 
Guys

Tulinde amani yetu jaman wengine sisi hatuwezi kukimbia wala kushika bunduki nimeingia telegram now baada ya kuona notification nyingi ndipo nikakuta nimeungwa kwenye group la watu wa iran mimi nikaandika sielewi kitu hapa nimefikaje

Akaja mtu bobo akaaza kuniambia kuhusu iran nikajua ni tapel kumbuka hapo tuna chat english nimesikitika sana ni kijana mdogo wa miaka 20 hana tumain la kuish tena naogopa kuambatanisha screen shoot hapa nisijee bebwa mkuki mkuki

Lengo langu ni kuwa kuwa ambia kuwa tutunze amani yetu kama mtu anataka vurugu aende iran au asubilie mimi na familia yangu tufe ndio azishe furugu

Vuta picha watu wanakufa bila hatia na watoto wadogo [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] so sad why this happen there are people who so selfsh

Tuilinde amani yetu hakuna mtu atakae toka marekani kuja kutulindia hii aman

English yako hovyo
 
Hii
 
Attachments

  • 12083F57-CC61-46C5-832A-D96DDA1501E7.png
    12083F57-CC61-46C5-832A-D96DDA1501E7.png
    122.1 KB · Views: 11
Guys

Tulinde amani yetu jaman wengine sisi hatuwezi kukimbia wala kushika bunduki nimeingia telegram now baada ya kuona notification nyingi ndipo nikakuta nimeungwa kwenye group la watu wa iran mimi nikaandika sielewi kitu hapa nimefikaje

Akaja mtu bobo akaaza kuniambia kuhusu iran nikajua ni tapel kumbuka hapo tuna chat english nimesikitika sana ni kijana mdogo wa miaka 20 hana tumain la kuish tena naogopa kuambatanisha screen shoot hapa nisijee bebwa mkuki mkuki

Lengo langu ni kuwa kuwa ambia kuwa tutunze amani yetu kama mtu anataka vurugu aende iran au asubilie mimi na familia yangu tufe ndio azishe furugu

Vuta picha watu wanakufa bila hatia na watoto wadogo [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] so sad why this happen there are people who so selfsh

Tuilinde amani yetu hakuna mtu atakae toka marekani kuja kutulindia hii aman
Juzi nilikuwa natazama habari ya BBC kwakweli ulio sema ni kweli watoto hawana tumaini na maisha wanaishi kwa hofu kubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Guys,

Tulinde amani yetu jaman wengine sisi hatuwezi kukimbia wala kushika bunduki nimeingia telegram now baada ya kuona notification nyingi ndipo nikakuta nimeungwa kwenye group la watu wa iran mimi nikaandika sielewi kitu hapa nimefikaje.

Akaja mtu bobo akaaza kuniambia kuhusu iran nikajua ni tapel kumbuka hapo tuna chat english nimesikitika sana ni kijana mdogo wa miaka 20 hana tumain la kuish tena naogopa kuambatanisha screen shoot hapa nisijee bebwa mkuki mkuki.

Lengo langu ni kuwa kuwa ambia kuwa tutunze amani yetu kama mtu anataka vurugu aende iran au asubilie mimi na familia yangu tufe ndio azishe furugu.

Vuta picha watu wanakufa bila hatia na watoto wadogo [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] so sad why this happen there are people who so selfsh.

Tuilinde amani yetu hakuna mtu atakae toka marekani kuja kutulindia hii amani.
Wote ni dini Moja! Na wanatumia sheria za Dini yao!
 
... Iran wanakufa chanzo ni watawala. Huu ujumbe wako hope mlengwa ni watawala. Mwenye kusikia na asikie.
 
Back
Top Bottom