Tutunze amani yetu Iran watu wanakufa huko

Guys,

Tulinde amani yetu jaman wengine sisi hatuwezi kukimbia wala kushika bunduki nimeingia telegram now baada ya kuona notification nyingi ndipo nikakuta nimeungwa kwenye group la watu wa iran mimi nikaandika sielewi kitu hapa nimefikaje.

Akaja mtu bobo akaaza kuniambia kuhusu iran nikajua ni tapel kumbuka hapo tuna chat english nimesikitika sana ni kijana mdogo wa miaka 20 hana tumain la kuish tena naogopa kuambatanisha screen shoot hapa nisijee bebwa mkuki mkuki.

Lengo langu ni kuwa kuwa ambia kuwa tutunze amani yetu kama mtu anataka vurugu aende iran au asubilie mimi na familia yangu tufe ndio azishe furugu.

Vuta picha watu wanakufa bila hatia na watoto wadogo [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] so sad why this happen there are people who so selfsh.

Tuilinde amani yetu hakuna mtu atakae toka marekani kuja kutulindia hii amani.
Mtunze Amani ili wateule wale nchi bila kelele, Huu ndio Ujinga wa Kitanzania, Wanahubiri amani ilihali wao wanacho ta pesa
 
Lindeni amani wajanja we ale nchi,
 
Kwahiyo mwanangu , Tindulisu anavyolialia huko ugenini Kuna mauaji kutoka kwa wasiojulikana nk. maanake amani Hakuna ndani ya nchi yenu?
Usichokijua kwa miaka kadhaa iliyopita walikuwepo watu Kama hao wakilialia juu ya Hali iliyokuwemo humo kwenu.
Walilia mitandaoni pia wakalilia ugenini. Na si Kwamba amani haikuwepo.
Nb.
Iran Ni taifa kubwa la Middle East, uasi dhidi ya binadam unaofanywa na Israel dhidi ya Palestine Haina tofauti na kinachofanywa na Iran dhidi ya vibaraka wa Marekani. Lakini huwezi kuskia kelele za kutoka Marekani i'la utaskia kelele kutoka US dhidi ya Iran.

Iran ,Syria, kutokana na misimamo yao Ni ngumu kua na Urafiki na US.wenzao akina Libya na Iraq wameangamia.
Tofauti na hiyo huyo mpersia anaelialia , je Ni kweli uliwahi kuskia Iran Hakuna imani kias hiki?
 
Ndio maana nasema kuna watu ni wabinafsi sana wana angalia maslai yao na sio wengine
 
Lindeni amani wajanja we ale nchi,

Muhimu kuwe na amani kwasababu ata wew leo tukikupa nafasi ya kuwa rais hakuna utakachofanya zaidi ya kwenda kwenu kufanya maendeleo kanda ya kati
 
Guys,

Tulinde amani yetu jaman wengine sisi hatuwezi kukimbia wala kushika bunduki nimeingia telegram now baada ya kuona notification nyingi ndipo nikakuta nimeungwa kwenye group la watu wa iran mimi nikaandika sielewi kitu hapa nimefikaje.

Akaja mtu bobo akaaza kuniambia kuhusu iran nikajua ni tapel kumbuka hapo tuna chat english nimesikitika sana ni kijana mdogo wa miaka 20 hana tumain la kuish tena naogopa kuambatanisha screen shoot hapa nisijee bebwa mkuki mkuki.

Lengo langu ni kuwa kuwa ambia kuwa tutunze amani yetu kama mtu anataka vurugu aende iran au asubilie mimi na familia yangu tufe ndio azishe furugu.

Vuta picha watu wanakufa bila hatia na watoto wadogo [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] so sad why this happen there are people who so selfsh.

Tuilinde amani yetu hakuna mtu atakae toka marekani kuja kutulindia hii amani.
Hivi iran unaijua au unaadithiwa
Machafuko hayapo nchi zima na ni nchi iliyoendelea sana mara mia zaidi ya bongo.
Nakwambia tena wameendelea sana ni mara mia zaidi ya bongo
Screenshot_20221225-115310_Google.jpg

Screenshot_20221225-115713_Google.jpg
 
Iran inatafutwa kila angle kuiangusha kuanzia vikwazo, kufadhili ugaidi dhidi yao na hata mauaji dhidi ya wanasayansi wao
Kama taifa wao wako against US na washirika wake wa Ulaya coz hawataki greatness ya Iran katika Sayansi, teknolojia, kilimo, madawa, Phizikia nk.
Wao wanataka Iran Iwe nchi kibaraka wa US, aruhusu ushoga, anunue silaha na teknolojia za kivita kutoka kwao, anunue hata vikombe kutoka kwao.
Hicho kitu hakiwezekani . Irani ya Leo so Iran iliyovimba vyema dhidi ya Iraq na vibaraka wake wa Ufaransa, US, UK, nk . Iraq ya Leo Ni yenye nguvu kubwa zaidi kijeshi na kizuri Iran imeendelea kukumbuka Mara kwa Mara Kwamba yeyote katika middle East atakayetumika dhidi yake miji na watu wake itageuka kuwa magofu. Yaani Qatar, UAE, na Oman wakubali kurudi Zama pili za mawe.
 
Wa-Iran wajilaumu kwa kuingia mkenge wa dini ya Mwarabu, wangebaki neutral tangu mwanzo, hiyo dini mkiiachia iteke nchi, kuitoa lazima mfe wengi......
Nafikiri ndio nimeanza kuelewa kwanini kuna miungano imelazimishwa idumu kwenye baadhi ya mataifa.
 
Mtunze Amani ili wateule wale nchi bila kelele, Huu ndio Ujinga wa Kitanzania, Wanahubiri amani ilihali wao wanacho ta pesa
Hii ndio Amani ya kibongo inayolazimishwa hata kwa mtutu wa bunduki. Kimsingi hata hao wanasiasa wanaohubiria amani wao na familia zao hazitakuwa salama nchi ikichafuka kwa vurugu na kumwagika damu. This is what most of Tanzanians dont understand.
 
IRAN kwa zaidi ya miaka 40 imeweza kujiendeleza kiuchumi, kijeshi na kijamii kwa ujumla na kwa sasa Iran imekua tishio kubwa kwa Mbwa wote waliojaribu kuihujumu kwa namna yoyote ile. US, Saddam, Israel, Nato na Mbuzi wengine wasioitakia mema Iran wameshindwa kutimiza malengo yao. Baada ya kuona war confrontation ni uamuzi wasioumudu kwasasa wameibuka na oh IRAN hakuna haki za binadamu. So what?
 
Sio kwamba ANA AMINI MUNGU HAYUPO, anajua kuwa Mungu hayupo na ana hoja ambazo hata Askofu wako hawezi kujibu so endelea na mambo ya wairan Uzi usije geuka mjadala wa imani
Hana hoja huyo,ukimbana anakublok asione replies zako kwake
 
Back
Top Bottom