AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 12,233
- 20,522
Cigarette smoking is the universal factor or many CancersUnajitunzaje usipate kansa?
Hapo kuelezea changamoto ila tunza afya yako maji ya kutosha kula vizuri mlo kamili epuka matumizi ya vinjwaji, vyakula, vitu vya kupakaa mwilini, nk vyenye kemikali nyingi zinazoweza kuiharibu afya yako ya ngozi na mwili kiujumla kwa uchache naelewa hivyoUnajitunzaje usipate kansa?
Usiishie hapo, shughulisha viungo, dhibiti msongo, pumzika ipasavyo na kula kiafya.Afya ni muhimu sana aise, nina miaka nane sasa situmii soda, juice za dukani, bange, sigara wala bia,..
Hii DUNIA HUJAFA hujaumbika!?Wakuu,
Nipo hapa kuwasisitiza na kuwakumbusha tutunze afya zetu.
Binadamu jinsi tulivyo ukiichezea afya yako vibaya kuna wakati unafika unaanza kuoza.
Yaan mtu akikutazama hivi anakuona kwa nje ni mzima kabisa ila ndani wewe tayari umeshaanza kuoza unaoza kaka unaoza dada unaoza kijana unaoza mzee na bado upo hai.
Leo katika pitapita zangu kwenye mizunguko ya hapa na pale kuna kijana wa makamo nilikua nampa msaada leo aliniomba nimsaidie kitu fulani nikiwa napita akaniita "bro please come and help me!".
Yule mtu ukiwa kwa mbali km hujamsogelea karibu huwezi kujua km ni mgonjwa totally yaan ni mzoga unaotembea.
Yaan kwa mimi nilivyoona yule ni mgonjwa tena ni mgonjwa haswa ila yeye anajiona kama kwamba sio mgonjwa inaweza kua au hajaamua kwenda hospitali kupatiwa matibabu au vinginevyo mimi sijui ila sikuona umuhimu wa kumhoji kuhusu hilo ingawa kuna kitu nilijifunza kutoka kwake kuhusu afya.
Kilichonithibitishia ni harufu ya mzoga. Sisemi vibaya ila nilipomsogelea nilianza kuisikia harufu kali ya mzoga.
Sasa kwa mazingira tuliyokua nikaanza kujiuliza hii harufu ya mzoga inatokea wapi?
Ikabidi nimsogelee zaidi ili kuthibitisha kua hii harufu ya mzoga ni harufu ya huyu jamaa ili nihakikishe km kweli harufu inatokea kwake kwenye kumsogelea nikagundua ile harufu ni harufu ya jamaa ananuka mzoga totally.
Maana yake ni kwamba ndani kwa ndani kuna viungo aidha vinaanza kuoza taratibu au vimeshaoza kabisa na jamaa hajui km ameshaoza.
Tutunze sana afya zetu wakuu.
Mimi yangu ni hayo tu kwa leo.
Kawaida yangu ni kuwakumbusha.
Tutunze afya zetu.
Mazoezi nafanya sana mkuu,Usiishie hapo, shughulisha viungo, dhibiti msongo, pumzika ipasavyo na kula kiafya.
mm nikiona soda mate yanajikimbizaAfya ni muhimu sana aise, nina miaka nane sasa situmii soda, juice za dukani, bange, konyagi, sigara wala bia,..
. Mazoezi kiasi, hakika najiona niko strong mda wote.