Tutumieni majini, kampeni madawa

Mtafiti Madini

Senior Member
Oct 12, 2013
101
35
Wakuu,

Tukitaka tufanikiwe hii ishu ya mafawa, tutumieni majini kwa sababu zifuayazo;
1. Majini yanaweza kuona tusivyoviona.
2. Majini hayana siasa.
3. Majini hayatafuti sifa.

Naomba kuwasilisha
 
Back
Top Bottom