KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,569
- 21,075
π¬π¨π§π’π‘π πππ²ππ―π΅π
Toleo jipya la basi kutoka Yutong kwa jina lingine linaitwa Yutong D14
Toleo hili limezinduliwa rasmi Tanzania tarehe15/03/2025.Baadhi ya sifa zake ni kama ifuatavyo
πππ ππ‘π¦ππ’π‘
Β©Urefu wa bus ni 13.25M au 13,250mm
Β©Upana wa bus ni 2.6 M au 2,600 mm
Β©Kimo cha bus ni 3.86M au 3, 860 mm Urefu ikiwa haina AC Kimo ni 3.96 M au 3960 mm ikiwemo AC
Β©umbali Kati ya tairi za nyuma na mbele ni 6.8 M au 6800mm
π¨πππ§π’
Β©Uzito wa bus bila mzigo [curb weight ni 13500 kg]
Β©Uzito unaoruhusiwa [gross weight ni 18000kg]
π πππ¨π§π
Tenki la mafuta linachukua ujazo wa 400:L - 450 L au 750L
ππ‘πππ‘π
Hutumia enjini za YUCHAI au CUMMINS kwa Tanzania huoendelea kutumia CUMMINS ππ¦πΉπ² π―π°π¬ π°π¬ ikiwa na
8900 cc au 8.9L nguvu yake ikiwa [360 hp]
Euro ||| au |V kulingana na mkataba
Β©CUMMINS engine zingine ni
-- Cummins L360/Euro ii/8.9
-- Isle 370/Euro iii/8.88
-- Z10E410/Euro iii/9.92
Β©Gia boksi/Gearbox uhamisho wa kawaida wa kasi ni 6
--Fast 6DSX150T
--Fast 6DSX180T
--Fast 6DSX200T
π¨π¦ππππ π
Β©inatumia mfumo wa breki wa umeme πππ¦
Β©Ina CCTV camera kwa usalama ndani ya BUS
Β©GPS kufuatilia bus
Β©Mfumo wa tahadhari kukumbusha dereva kuepusha ajali na vifaa Vinginevyo vya dharula wakati wa ajali
π¦π£πππ
Mkimbio wa kasi Zaid 120km/h [source Deepseek]
π¦ππ§π ππ ππππ₯ππ
inakadiria kuchukua abiria kuanzia 55 kwenda juu
Mpangilio wa siti
2 BY 2 = 61 +1 +1
3 BY 2 = 75 +1 +1
2 BY 2 = 55 +1 +1
2 BY 2 = 51 +1 +1
mahitaji yay seats za Bussnes classes inawez range 35--49 seatsu(business class seats
vitu vya ziada ambavyo mteja akihitaji gharama zitaongezeka
π©ππ£ππ‘ππππ π©π¬π πππππ
β’Mfumo wa hewa baridi (air conditioning) kwenye paa
β’Uwezo wa kubeba mizigo: 6-8 mΒ³
β’Chaguo: Skrini za LCD, vituo vya kuchaji USB, mfumo wa sauti (PA)
BEI yake inaenda 162,000 USD_CIF Dar es salaam port,gharama inaongezeka kulingana na mahitaji ya mteja, bei hiyo tajwa hapo juu ni bila ushuru.
SOURCE [VARIOUS SOURCES]
πΌππ ππΌπππΌπππΌ π½ππππ || ππͺπ’πππ©ππ π¨ππππ§π π«