hiyo ni dawa kwa ajili ya wasio na kazi
vumbi la kongo ni dawa ambayo anatumia mwanaume anayewahi kumaliza ili achelewe kufika kileleni, unapaka kidogo pembeni ya kichwa chako cha chini kwenye ule mzunguko kama uzi hivi
uliza hilo swaliKuna maswali mengine yameulizwa. Vipi huna ujuvi nayo?
ulikojoa vingapi mkuu?Nishawahi kuitumia ni vumbi kweli mfano wa mbao iliyosagwa.
Nilishauriwa kuweka kwenye lotion kisha unapaka kwenye mshedede baada ya muda unaosha na maji.hii dawa inachofanya ni kutoa ganzi upper part of the mshedede so unapo do mshedede unakuwa na ganzi eneo la juu so unakuwa ume-erect but you don't feel an opposite taste so it take muda mreeefu mreeefu saana to finish
[emoji28] [emoji28] [emoji28]ulikojoa vingapi mkuu?