Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,961
- 67,515
Natafuta kazi hoteli ππ hamuoniMpaka ubuyu mzee baba? Wewe basi, umemaliza π π π π π π π
Ubuyu unatengenezwa au unavunwa kwenye miti ya mibuyu?
Unatengenezwa baada ya kuvuna ili ulike vizuri kama hiviUbuyu unatengenezwa au unavunwa kwenye miti ya mibuyu?
Madogo mnakula sumu sanaUnatengenezwa baada ya kuvuna ili ulike vizuri kama hivi
Kuchangamsha mdomo tuMadogo mnakula sumu sana
OKKuchangamsha mdomo tu
Ndicho nacho kitaka tu ukufe tu πUtaniuaπ
Napenda ubuyu wa vinto wenye pilipili mangaNdicho nacho kitaka tu ukufe tu π
Ukija nitembelea utaondoka naoNapenda ubuyu wa vinto wenye pilipili manga
Kwenye Swala na maini ya Nyati huniiti ..Kwenye ubuyu ndio unanikumbuka Sitaki ππ
Adi ubuyu,,,, umeshindikana alooo ! Kitu na box
Ahhahah nifungue shule ndogoAdi ubuyu,,,, umeshindikana alooo ! Kitu na box
Hahahah si ulisema una penda ubuy wewe ukataka nikutumie si ndio uhuu πKwenye Swala na maini ya Nyati huniiti ..Kwenye ubuyu ndio unanikumbuka Sitaki ππ
Asante