Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,951
- 61,758
Jumamosi na Jumapili ni siku za kukutana na jamii yako inayokuzunguka,ikiwezekana hata ndugu zako walioko kijijini n.k Sio kila siku kujiweka bize kutafuta ela/fedha,fedha huwa hazijai....kuwatembelea jamii inayotuzunguka ni kuonyesha ukomavu wa kiumri pamoja na hekima.Do it...!
Tutakaribia mkuu...
ha ha ha nitakaribiaAnza ww karibu kwetu Tabata
Jumamosi na Jumapili ni siku za kukutana na jamii yako inayokuzunguka,ikiwezekana hata ndugu zako walioko kijijini n.k Sio kila siku kujiweka bize kutafuta ela/fedha,fedha huwa hazijai....kuwatembelea jamii inayotuzunguka ni kuonyesha ukomavu wa kiumri pamoja na hekima.Do it...!
Karibukaribu kule
Naomba mimi nikutembelee nyumbani kwako
Karibu sana,nikuandalie nini?Naomba mimi nikutembelee nyumbani kwako
Wakati niko njiani nakuja kwako[emoji134]Naomba mimi nikutembelee nyumbani kwako
SamakiKaribu sana,nikuandalie nini?
Mimi sipokeagi wageni..hasa wageni wa hasara kama weweWakati niko njiani nakuja kwako[emoji134]
Utaipata tu endelea kufuatilia uziNatafuta sana hii Compliment
Utaipata tu endelea kufuatilia uzi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi sipokeagi wageni..hasa wageni wa hasara kama wewe
Samaki hatoshi,taja 'full package'Samaki
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Leo nakuja na faida wifi.
Samaki mmoja wa kukaanga na ugali unatoshaSamaki hatoshi,taja 'full package'