Awamu ya 6 haimwachi mwizi yeyeto bila cheo serikalini isipokuwa wezi wa kuku tu, wengine wote wana ofisi zao tayari na per diem kibao. Utake nini usipewe na hawamu hii jamani?
lugola mbona kaachwa masauni kapata
Awamu ya 6 haimwachi mwizi yeyeto bila cheo serikalini isipokuwa wezi wa kuku tu, wengine wote wana ofisi zao tayari na per diem kibao. Utake nini usipewe na hawamu hii jamani?
Kwani lini alitoka? Saizi ndio kwanza ni niabu karibu mkuu.Sasa ni dhahiri kwamba awamu ya 6 imebaini kwamba wapo watu kadhaa walioongoza sekta , vitengo au mashirika ya umma waliondolewa kimakosa au kwa wivu tu na awamu iliyopita , tukaaminishwa kwamba ni mafisadi lakini hawakuwahi kushitakiwa popote .
Sasa baada ya kujulikana kwamba walikuwa " WATU SAFI na WAADILIFU " Tunaona mmoja baada ya mwingine wakirejeshwa kwenye nafasi zao huku wengine wakipewa vitengo vipya .
Je Lawrence Mafuru naye atarejeshwa kwenye nafasi ya awali Hazina ?