Huko ulaya mlikopandishwa daladala wao wana tozo? mmeenda likizo ya kufikiriSio kweli kwamba tozo hazikuwa na faida kwa maendeleo ya Mwananchi wa chini.
Na sio kweli nchi yetu inajitosheleza kimapato kiasi cha kuona tozo haina msaada wowote kwenye maendeleo.
Navyofahamu tozo ilikuwa inatoa nafasi kwa watanzania wengi kuchangia maendeleo yao.
Sasa wameondoa tozo, naamini mzigo tuliokuwa tunauona kwenye tozo kuna sehemu tutaenda kuulipa kwa gharama.
Ni suala la muda tu.........
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo misaada wanayowapa kila siku wanashushiwa kutoka Mbinguni?Huko ulaya mlikopandishwa daladala wao wana tozo? mmeenda likizo ya kufikiri
Fuatilia ile clip ya mzungu aliyewananga viongozi tena akataja Tanzania kabisa uone alichozungumza usijitoe ufahamu we Mwigulu photocopy
Sio kweli.. Tozo zinaua uchumi…Sio kweli kwamba tozo hazikuwa na faida kwa maendeleo ya Mwananchi wa chini.
Na sio kweli nchi yetu inajitosheleza kimapato kiasi cha kuona tozo haina msaada wowote kwenye maendeleo.
Navyofahamu tozo ilikuwa inatoa nafasi kwa watanzania wengi kuchangia maendeleo yao.
Sasa wameondoa tozo, naamini mzigo tuliokuwa tunauona kwenye tozo kuna sehemu tutaenda kuulipa kwa gharama.
Ni suala la muda tu.........
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli kwamba tozo hazikuwa na faida kwa maendeleo ya Mwananchi wa chini.
Na sio kweli nchi yetu inajitosheleza kimapato kiasi cha kuona tozo haina msaada wowote kwenye maendeleo.
Navyofahamu tozo ilikuwa inatoa nafasi kwa watanzania wengi kuchangia maendeleo yao.
Sasa wameondoa tozo, naamini mzigo tuliokuwa tunauona kwenye tozo kuna sehemu tutaenda kuulipa kwa gharama.
Ni suala la muda tu.........
Sent using Jamii Forums mobile app
Kodi hulipwa 'direct' na 'indiect'.....sio mpaka iwe direct ndo uone unalipa Kodi.....Sio kweli.. Tozo zinaua uchumi…
Usiwadanganye watu
Tozo ni wizi period
Kodi tunalipa why tulipe mara kumi?
Kampuni kubwa ya voda imetangaza kupungua mapato yake wewe hili haujalionaSio kweli kwamba tozo hazikuwa na faida kwa maendeleo ya Mwananchi wa chini.
Na sio kweli nchi yetu inajitosheleza kimapato kiasi cha kuona tozo haina msaada wowote kwenye maendeleo.
Navyofahamu tozo ilikuwa inatoa nafasi kwa watanzania wengi kuchangia maendeleo yao.
Sasa wameondoa tozo, naamini mzigo tuliokuwa tunauona kwenye tozo kuna sehemu tutaenda kuulipa kwa gharama.
Ni suala la muda tu.........
Sent using Jamii Forums mobile app
Kodi inalipwa direct na indirect sio lazima iwe direct ndo uione.....Mwaka mzima ulioisha umelipa kodi kiasi gani?
Tozo zinatakiwa ziendane na hali halisi ya vipato vya watanzania. Nalipa tozo halafu hakuna unafuu wowote wa maisha, hizo tozo zinafanya kazi gani?Sio kweli kwamba tozo hazikuwa na faida kwa maendeleo ya Mwananchi wa chini.
Na sio kweli nchi yetu inajitosheleza kimapato kiasi cha kuona tozo haina msaada wowote kwenye maendeleo.
Navyofahamu tozo ilikuwa inatoa nafasi kwa watanzania wengi kuchangia maendeleo yao.
Sasa wameondoa tozo, naamini mzigo tuliokuwa tunauona kwenye tozo kuna sehemu tutaenda kuulipa kwa gharama.
Ni suala la muda tu.........
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji13][emoji13][emoji13] serikali sio kichaa, hautaona unafuu wowote, hio punguzo ya tozo mtaifidia sehemu nyingine. Siku zote fedha huwa haitoshi, serikali inahitaji fedha mtapunguziwa tozo au kuondolewa lakini itawekwa sehemu nyingine na mtailipa vizuri tu.Tozo zinatakiwa ziendane na hali halisi ya vipato vya watanzania. Nalipa tozo halafu hakuna unafuu wowote wa maisha, hizo tozo zinafanya kazi gani?
Kwani zamani tulikuwa tunaishije? Sasa hivi nchi inajengwa kwa tozo? Bidhaa zipo juu, kila siku vifurushi vinabadilishwa. leo 1GB inauzwa kwa 3,000. Unapata raha gani ya kuwa Mtanzania?
Tulipe tozo muende mkale bata uingereza.
Kwani kabla ya tozo ilikuaje???[emoji13][emoji13][emoji13] serikali sio kichaa, hautaona unafuu wowote, hio punguzo ya tozo mtaifidia sehemu nyingine. Siku zote fedha huwa haitoshi, serikali inahitaji fedha mtapunguziwa tozo au kuondolewa lakini itawekwa sehemu nyingine na mtailipa vizuri tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahaaaa, watu wanafurahia tozo kufutwa. [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]“Kodi ya pango itakusanywa na TRA” Mwigulu