Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,864
- 168,174
Waliouawa majumbani ni wengi kuliko waliouawa mitaani. Mitaani watu waliuawa siku ya kwanza.walikuwa wachache sana, kwa nini ukachome na kuiba mali ya mwenzako hujui alivyojibana na kupambana?
Ila waliouawa siku ya pili na ya tatu wengi walikuwa wapo majumbani mwao