Tutawakumbuka daima mlale salama mashujaa wa Taifa

TUTAWAKUMBUKA DAIMA
MLALE SALAMA MASHUJAA WA TAIFA🫡🇹🇿

View attachment 3701073
Hii picha ilibeba hisia nyingi sana zinazoumiza mpaka leo nimejitahidi kukaa kimya moyo umeishia kububujikwa na machozi Rest in Paradise makamanda wote mlioamua kuipambania nchi.

Moja kati ya matukio hatarishi zaidi ya Serikali kwa walipa kodi wake tangia tupate uhuru cha ajabu viongozi wanataka tuisahau hii siku kana kwamba waliopoteza uhai walikuwa ni kuku na sio watanzania wenzetu .Anyway Karma is Real P alisema.

View attachment 3701074
We mbwa kwl, picha ya kutengeneza? Mashuja gani hao, walioharibu miundo mbinu ya nchi?, waliwaibia watanzania? Waliochoma mali za watu na za umma? We na wenzio ni makenge yasiyojitambua.
 
Tumlaumu sana Maria sarungi, Mange kimambi na wote waliochochea aisee , wasingelianzisha pilisi wangepiga watu ya nini?
WALAAAANIWE WOTE WALIOTAKA KUONA TUNAINGIA KWENYE VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE NA TAIFA KUFILISIWA MBWA MBWA MBWA KABISA KWA WOTE WALIOFURAHIA WAHUNI , MAJAMBAZI NA VIBAKA KUINGIA MTAANI
Nilikusahau ingia kwenye ignore box
 
Nilikusahau ingia kwenye ignore box
NIPE BLOCK KABISA LAKINI NDO UKWELI MNASHANGALIA MALI ZA WATU ZILICHOMWA TUINGIE KNYE UASKINI WA KUSABABISHIWA? WASINGEZUIWA LEO KARIAKOOO, POSTA MLIMANI CITY NA MATAJIRI WANGAPI WANGEKUWA MASKINI WA AJABU? MAHOSPITALI MABENKI MANGAPI YANGEKUWA YAMESHACHOMWA ? SHENZI KABISA NA WEWE HUNA AKILI YA A KUVUKIA BARABARA
 
We mbwa kwl, picha ya kutengeneza? Mashuja gani hao, walioharibu miundo mbinu ya nchi?, waliwaibia watanzania? Waliochoma mali za watu na za umma? We na wenzio ni makenge yasiyojitambua.
UPO SAHIHI KABISA YAAANI MATANZANIA MENGINE NI MAJINGA MPAKA BASI YANAFURAHIA TULIKUWA LEO TUNAINGIA KNYE UMASKINI WA AJABU FIKIRIA TU WANGEPENYA KARIAKOO, POSTA NA KNYE MIJI MIKUBWA MAENEO YA BIASHARA LEO INEKUWA NI ANGUKO LA KIHISTORIA
 
Tumlaumu sana Maria sarungi, Mange kimambi na wote waliochochea aisee , wasingelianzisha pilisi wangepiga watu ya nini?
WALAAAANIWE WOTE WALIOTAKA KUONA TUNAINGIA KWENYE VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE NA TAIFA KUFILISIWA MBWA MBWA MBWA KABISA KWA WOTE WALIOFURAHIA WAHUNI , MAJAMBAZI NA VIBAKA KUINGIA MTAANI
Wa kulaumiwa kabisa ni yule aliyesema wanajeshi wa JWTZ wakae tayari. Nchi inaenda kwenye uchaguzi wa kiraia na wa kidemokrasia, jeshi like tayari kumuua ñani? Kazi ya jeshi ni kuua adui wanaotoka nje ya mipaka yetu.

Sasa huyu mama aliamuru jeshi letu liuwe watoto wetu
 
ndugu vyombo vyote vya ulinzi na usalama kazi zake ni kutulinda, hivi jiweke nafasi ya tajiri wa exter buses, nafasi ya D VOIVE BAR kawekeza bilioni 4 imechomwa na kuibiwa na vibaka mbwa wachafu, jiweke una mkopo bank nyumba dhamana wale mbwa koko wamekuja wamechoma , jiweke nafasi ya shishi na nenga ? kwani vile vibaka walivyokufa tumepungukiwa na nini? tena watafutwe wengine wamalizwe kabisa hatutaki DNA ya majambazi
 
Tumlaumu sana Maria sarungi, Mange kimambi na wote waliochochea aisee , wasingelianzisha pilisi wangepiga watu ya nini?
WALAAAANIWE WOTE WALIOTAKA KUONA TUNAINGIA KWENYE VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE NA TAIFA KUFILISIWA MBWA MBWA MBWA KABISA KWA WOTE WALIOFURAHIA WAHUNI , MAJAMBAZI NA VIBAKA KUINGIA MTAANI
Sarungi ndio aliua watoto kwenye banda la video?
 
KWa iyo ndio iliwapa kibali ninyi mapolisi kuua wamama, watoto na kila mwananchi?

Inaingia akilini mwako kisawasawa?
hivi jiweke nafasi ya askari ambaye wenzake wameshauwa kadhaaa na vurugu kila mahali unafanyaje ukiona vijana unajua wame camouflage wanasubiri mpite walianzishe nyuma
 
situation ilikuwa mbaya sana sana wahuni na majambazi waliiitesa sana vyombo vya ulinzi wananchi wema, fikiria sisi tulilinda ofisi zetu 48 hrs bila kufunga jicho na bado walijaribu sana sana kweli ntakuja kuwa na huruma ya waliouwawa? ki ukweli nilisikitika sana waliuwawa wachache sana angalau wangepigwa shaba kama elfu 6 hivi
 
Mwenye nguvu ya risasi lazima awe na hekima

Huwezi kuua kila kitu unachokiona mbele yako eti kisa poti mwenzako aliuawa kikatili. Kuna watu wapo vitani na kuna adui na kuna raia, kuna rules of engagement.

Kwenye maandamano kuna zana za kudeal na waandamanaji si kuua watu zaidi ya 2,000, unawabeba na kudampo nje ya hosp, unachukua gari la taka unaenda wazika kwenye makaburi ya halaiki, waliojeruliwa unawazika wazima, hospitali unawakataza wasipokee majeruhi, ushahidi unafuta, watoto unawaua.

HUo ni ukatili uliokithiri, Tanzania hatujahi kua hivi
 
situation ilikuwa mbaya sana sana wahuni na majambazi waliiitesa sana vyombo vya ulinzi wananchi wema, fikiria sisi tulilinda ofisi zetu 48 hrs bila kufunga jicho na bado walijaribu sana sana kweli ntakuja kuwa na huruma ya waliouwawa? ki ukweli nilisikitika sana waliuwawa wachache sana angalau wangepigwa shaba kama elfu 6 hivi
Utakufa kwa upanga I was there it was very worse ule ulikuwa unyama lkn zile damu zitawadai kama ulihusika kwa namna yoyote Mungu akaseme na wewe kupitia damu zilizomwagika.
 
situation ilikuwa mbaya sana sana wahuni na majambazi waliiitesa sana vyombo vya ulinzi wananchi wema, fikiria sisi tulilinda ofisi zetu 48 hrs bila kufunga jicho na bado walijaribu sana sana kweli ntakuja kuwa na huruma ya waliouwawa? ki ukweli nilisikitika sana waliuwawa wachache sana angalau wangepigwa shaba kama elfu 6 hivi
Polisi walijipanga kuua na waliua kwanza kabla ya matukio ya kisasi kutoka kwa wananchi.

Kuna raia wengi tu walikua wamepoa simulizi zinasema polisi waliingia mitaani na kufyatua risasi hovyo.

Mpaka Raia wanakuja kituoni na kuanza kuua, askari walikua wapi? Na iweje raia waanze na polisi wakati shida ilikua dhidi ya wanasiasa?
 
Ukitumia nguvu bila akili ndio madhara yake haya, mioyo ya watu imejeruhiwa leo mtu anakuja anaona kilichofanyika ni sawa hapana hata shetani wakati mwingine ni watu wenyewe.
 
Back
Top Bottom