There is a purpose for each one of us to be in this earth. Some of us die prematurely before fulfilling their purpose. By the grace of the Holy Spirit you will fulfill your purpose.Tunalindwa against our enemy kwaajili ya pay back au neema?
What the purpose of living if we all end up dying?alafu previous umesema utakuwa protected kufulfil his purpose inakuwaje wengine hawafanikishi au hawawi protected na hilo ni tatzo la nani?maana kwa mtazamo wako masterplanner ni holyspiritThere is a purpose for each one of us to be in this earth. Some of us die prematurely before fulfilling their purpose. By the grace of the Holy Spirit you will fulfill your purpose.
Mh!There is a purpose for each one of us to be in this earth. Some of us die prematurely before fulfilling their purpose. By the grace of the Holy Spirit you will fulfill your purpose.
God is the master planner, all of these were destroyed by the work of Satan after convincing Eve to eat the fruit. Jesus came to redeem us and Holy Spirit is teaching us what we have forgotten in the teaching of Jesus.What the purpose of living if we all end up dying?alafu previous umesema utakuwa protected kufulfil his purpose inakuwaje wengine hawafanikishi au hawawi protected na hilo ni tatzo la nani?maana kwa mtazamo wako masterplanner ni holyspirit
Vipi kuhusu imani nyingine?God is the master planner, all of these was destroyed by the work of Satan after convincing Eve to eat the fruit. Jesus came to redeem us and Holy Spirit is teaching us what we have forgotten in the teaching of Jesus.
Lakini Mungu si alishajua Mapema kwamba tunda litaliwa tu pamoja naGod is the master planner, all of these was destroyed by the work of Satan after convincing Eve to eat the fruit. Jesus came to redeem us and Holy Spirit is teaching us what we have forgotten in the teaching of Jesus.
Eve na Adam walipewa mtihani ambao waliushindwa. Kwenye maandiko hata Yesu alijaribiwa na Shetani lakini alimshinda. Sisi sasa hivi tuko kwenye mtihani.Lakini Mungu si alishajua Mapema kwamba tunda litaliwa tu pamoja na
ukatazo wake? Na alijua atakayefanya hivyo ni Ibilisi? Kosa la Ibilisi liko wapi
kwa kitu ambacho alipangiwa? Ushujaa wa Yesu uko wapo kwa jambo lililopangwa?
Mbona kama ile hadithi ya wachezesha vinyago puppet.
Lakini Mungu si anajua pale unapozaliwa tu kwamba huyu atashindaEve na Adam walipewa mtihani ambao waliushindwa. Kwenye maandiko hata Yesu alijaribiwa na Shetani lakini alimshinda. Sisi sasa hivi tuko kwenye mtihani.
Ushujaa wa Yesu uko pale kwa kuweza kuishi kama wanadamu mfano alisema kikombe hiki kiniepuke na msalaban pia aliomba maji ya kunywa alipotray uanadamu.Lakini Mungu si alishajua Mapema kwamba tunda litaliwa tu pamoja na
ukatazo wake? Na alijua atakayefanya hivyo ni Ibilisi? Kosa la Ibilisi liko wapi
kwa kitu ambacho alipangiwa? Ushujaa wa Yesu uko wapo kwa jambo lililopangwa?
Mbona kama ile hadithi ya wachezesha vinyago puppet.
Ninavyofahamu mtu akifa ndio siku yake ya mwisho duniani,imagine wale wanaoliwa na wanyama watafufuliwa vipi hahaaa.
Katika imani ya Buddha hata Hindu wanaamini mwisho wa binadamu ni kufa na kuzaliwa tena. Kuzaliwa huku kutatokana na matendo yako. Kama yalikuwa ni ya kumpendeza Mungu basibutazaliwa kwenye familia yenye tunu na furaha. Kama ulikuwa mtskaji na mtesaji unaweza kuzaliwa inzi.
Imani ya Ukristu, tunaamini bwana Yesu atarudi kuwahukumu wazima na wafu. Kutokana na matendo yao.
Hapa ninachowaza wale babu zetu walio chukulia utumwani, wale watoto ambao mimba zilitolewa, wale marehemu wote wakiwa hai. Hii dunia tutatosha kweli?
Ni kweli hiyo nmetolea mfano tuSioni tofauti kati ya anayeozea ardhini na anaeliwa na mnyama.
Eve na Adam walipewa mtihani ambao waliushindwa. Kwenye maandiko hata Yesu alijaribiwa na Shetani lakini alimshinda. Sisi sasa hivi tuko kwenye mtihani.
Mkuu mbona ninaona kama umejijibu?Spiritually
Mapapai ya Jana yamekufanya uvimbiweItakuwa mkuu, lakini ninachokumbuka nilikuwa Mtawala mkuu
sehemu, niliuwawa nikiwa kwenye gari la Farasi.
Itakuwa mkuu, lakini ninachokumbuka nilikuwa Mtawala mkuu
sehemu, niliuwawa nikiwa kwenye gari la Farasi.