Kwa maelezo yako inaonyesha it is an alteration process, huyu anakufa huku, yule anazaliwa kule so, kunakuwa na balance flan somewhereKatika imani ya Budda hata Hindu wanaamini mwisho wa binadamu ni kufa na kuzaliwa tena. Kuzaliwa huku kutatokana na matendo yako. Kama yalikuwa ni ya kumpendeza Mungu basibutazaliwa kwenye familia yenye tunu na furaha. Kama ulikuwa mtskaji na mtesaji unaweza kuzaliwa inzi.
Imani ya Ukristu, tunaamini bwana Yesu atarudi kuwahukumu wazima na wafu. Kutokana na matendo yao.
Hapa ninachowaza wale babu zetu walio chukulia utumwani, wale watoto ambao mimba zilitolewa, wale marehemu wote wakiwa hai. Hii dunia tutatosha kweli?
Muda wote huo inakuwa wapi?unafahamu nini kuhusu spiritual world?Spiritually
HowI know Holy Spirit operates Spiritually
Is it for everyone?is there any criteria?He will empower your physical body to do his will
He need not to empower the one who is capable of performing his tasks.If he sees your ability to perform his task. St Paul is a good example of the Holy Spirit’s Power
Norway na Qatar zote ni kingdoms, labda ulikuwa mfalme au waziri mkuu.Hii inawezekana kabisa unajua kila ninavyowaza nahisi kama nilikuwa
Raisi Nchi fulani, halafu sio ya watu weuasi. Najaribu kuvuta kumbukumbu
ni nchi gani hiyo? Nikikumbuka tu nitarudi huko na kuwaambia ndio mimi
Ila hisia zangu Kama sio Qatar basi ni Norway
Itakuwa mkuu, lakini ninachokumbuka nilikuwa Mtawala mkuuNorway na Qatar zote ni kingdoms, labda ulikuwa mfalme au waziri mkuu.
Tunalindwa against our enemy kwaajili ya pay back au neema?Atakulinda na maadui zako mpaka like lilikopangwavulifanye limetendeka
Hivi falme za kiarabu zinatumia horse carriage kweli, wazungu ndiyo wanapenda mambo hayo. Nyoka nitafute king wa Norway aliyekufa miaka kati ya 1990 kuendelea.Itakuwa mkuu, lakini ninachokumbuka nilikuwa Mtawala mkuu
sehemu, niliuwawa nikiwa kwenye gari la Farasi.
Itakuwa ni 1800 kuja chini 1990 nilishakuwa mwenyeji hapa Bongo.Hivi falme za kiarabu zinatumia horse carriage kweli, wazungu ndiyo wanapenda mambo hayo. Nyoka nitafute king wa Norway aliyekufa miaka kati ya 1990 kuendelea.