'TUTASUSIA Mkutano-CCM''



Leo hadi mkutano wa chama dume uishe wengi wenu mtakuwa mmelazwa hospitali, kwani presha ni juu sana na mnaweweseka, kweli mmeshikwa pabaya aisee. Habari yako ni CRAAAAAAAAAAAAAAP hakuna kitu km hicho uwanjani leo hapatoshi, mie huyo nasepa naelekea jangwani kwa wenye Dar es salaam yao, wale waliopita wote walikuwa wahamiaji waliokuja kupitia mbio za mwenge.
 
Mbowe alikuja na V8 sita, ww ulienda kwa baiskeli, mbona hukusema? leo mtaipata fresh


Huyo hata baiskeli hana, alienda kwa miguu, mpaka kandambili zikamkatikia njiani.
 
nna wasiwasi na walimu wameandikiwa barua kupeleka wanafunzi ili kujaza uwanja
 
Uongo mtupu huu.
ndugu enisisiara wa kaskazini tanzania,anasikitia kutangaza kifo cha nyinyiem,kilichotokea 2010-2015,mazishi yatafanyika kesho 2015.Habari ziwafikie,shangazi wa marehemu tibisii wani wa daresalaam,mke wa marehemu siyuefu wa pwani ya tanzania,wifi wa maremu tielopii wa kaskazini mwa tanzania,binti wa marehemu udipi akiwa shinyanga,ndugu,jamaa na marafiki wote popote pale walipo. Utarudia mwenyewe zomba
 
Jamani sijajua,Lusinde"futuhi" atakuwepo jangwani? Nakuomba sana nape umpe nafasi jamaa huyu,atakijenga sana chama chenu leo.
 
Huwezi kutenganisha uchakachuzi na mfumo mzima wa SISIMWEWE
 
kwani kujaa kwa watu ndio kupendwa, wengine wamemiss miziki na watataka kuwaona wasanii walioalikwa baada ya hapo no new, ni kuchapa rapa na yatayoongelewa no tija kwao
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…