Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
Shikamoo FaizaCUF ikitaka mafanikio iwachane na ukiwa.
kama BWANA YULE anavyomiliki rambirambi.Unajitekenya na kucheka mwenyewe
Shikamoo Faiza
Kwani inakosa nini UKAWA?
iwachane = iachaneCUF ikitaka mafanikio iwachane na ukiwa.
iwachane = iachane
huko madrasa huwa mnaenda kusomea ujinga?
Mkuu punguza makali kidogoiwachane = iachane
huko madrasa huwa mnaenda kusomea ujinga?
CUF ikitaka mafanikio iwachane na ukiwa.
Acha mabango faizafoxyKiswahili ni lugha mama kwangu, wewe ulijifundisha ulipoanza shule. Hiyo ndiyo tofauti kati yangu na yako.
CUF bado ngangari.Hiyo ukawa iko wapi? Imebaki ukiwa.
Juma Duni yuko wapi? Lipumba yuko wapi? Slaa yuko wapi?
CUF imesambaratishwa baada ya kujiunga na ukawa. Sasa imebaki ukiwa.
CUF bado ngangari.
Kile kikundi anachozunguka nacho Lipumba kwenye fuso hiyo siyo CUF ni sawa na kikundi cha ngoma.
Nilitegemea Bwana yule mbona kauwa wakurugenzi na wakuu wa wilaya lakini upande wetu hakuna mtu?ameniHiyo ukawa iko wapi? Imebaki ukiwa.
Juma Duni yuko wapi? Lipumba yuko wapi? Slaa yuko wapi?
CUF imesambaratishwa baada ya kujiunga na ukawa. Sasa imebaki ukiwa.
ndo tuna raisi wetu tayariUKAWA iko kwenye mioyo ya Watanzania
Hiyo ukawa iko wapi? Imebaki ukiwa.
Juma Duni yuko wapi? Lipumba yuko wapi? Slaa yuko wapi?
CUF imesambaratishwa baada ya kujiunga na ukawa. Sasa imebaki ukiwa.