Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
Tutakwenda kwenye uchaguzi wa sasa kama UKAWA, "Bwana Yule" hataweza kushindana na nguvu ya wananchi wanaotaka mabadiliko.
Fedha ambazo CCM wanajipanga kumpa ili aweke wagombea kwenye kata zote zitapotea. CUF itasimamisha wagombea kwenye kata kwa kuzingatia makubaliano ya ndani ya UKAWA, waasi na wasaliti wanaojipanga kuchukua fedha za CCM ili ati wavuruge UKAWA wataaibika.
UKAWA iko kwenye mioyo ya Watanzania na mimi kama Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi CUF (chama) nawahakikishia watanzania kuwa tutasimama kama UKAWA na tutawashinda WASALITI wote.
JSM.