Tutasimama kama UKAWA kwenye chaguzi zijazo, je Bwana yule atasimama kama CCM "B"?

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,898
Tutakwenda kwenye uchaguzi wa sasa kama UKAWA, "Bwana Yule" hataweza kushindana na nguvu ya wananchi wanaotaka mabadiliko.

Fedha ambazo CCM wanajipanga kumpa ili aweke wagombea kwenye kata zote zitapotea. CUF itasimamisha wagombea kwenye kata kwa kuzingatia makubaliano ya ndani ya UKAWA, waasi na wasaliti wanaojipanga kuchukua fedha za CCM ili ati wavuruge UKAWA wataaibika.

UKAWA iko kwenye mioyo ya Watanzania na mimi kama Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi CUF (chama) nawahakikishia watanzania kuwa tutasimama kama UKAWA na tutawashinda WASALITI wote.

JSM.
 
Safi sana, tupo pamoja..
Hakikisheni mnafanya mambo kimya kimya zaidi... Msisomeke.
 
Hiyo ukawa iko wapi? Imebaki ukiwa.

Juma Duni yuko wapi? Lipumba yuko wapi? Slaa yuko wapi?

CUF imesambaratishwa baada ya kujiunga na ukawa. Sasa imebaki ukiwa.
CUF bado ngangari.

Kile kikundi anachozunguka nacho Lipumba kwenye fuso hiyo siyo CUF ni sawa na kikundi cha ngoma.
 
Jamaa anajua hana ushawishi wowote,anachofanya ni kutumikia kafiri apate mradi wake.Walau mpaka sasa kafanikiwa kuteka Ofisi.
 
Atasimama kama presidential candidate wa Civil United Front (CUF)
 
Hiyo ukawa iko wapi? Imebaki ukiwa.

Juma Duni yuko wapi? Lipumba yuko wapi? Slaa yuko wapi?

CUF imesambaratishwa baada ya kujiunga na ukawa. Sasa imebaki ukiwa.
Nilitegemea Bwana yule mbona kauwa wakurugenzi na wakuu wa wilaya lakini upande wetu hakuna mtu?ameni



swissme
 
Hiyo ukawa iko wapi? Imebaki ukiwa.

Juma Duni yuko wapi? Lipumba yuko wapi? Slaa yuko wapi?

CUF imesambaratishwa baada ya kujiunga na ukawa. Sasa imebaki ukiwa.


Sasa si ndo mfurahi huko zanzibar mtakuwa mnashinda kama mnamsukuma mlevi?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom