Tutashuhudia mengi

Yote ayo ni kutukana na kuridhika kwao wakipata madaraka na kujifanya ma boss.
 
Wangewatumika vizuri wananchi wala wasingefika huko
 
hii picha hii jamaa aliweka na pozi kabisa
 
Mr. Politician


Nipeni kura zenyu/nipatieni
 
katokelezea kweli bado kupewa ukuu wa wilaya
 
Eti huyu naye ni Mkurya....dah kweli ccm imewafanya vibaya hawa watu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…