Kazwala mkuu
JF-Expert Member
- Jul 2, 2016
- 1,034
- 2,250
mkuu.. umenifanya nikumbuke mwalimu wa Geografia O-level aliyetufundisha kusoma picha.Kumbe hali ndo ilivokuw Bukoba??!!
Sina uhakika ni mji gani lakini inaonyesha hatari hii pia imesababishwa na tetemeko la ardhi.Kumbe hali ndo ilivokuw Bukoba??!!
mkuu.. umenifanya nikumbuke mwalimu wa Geografia O-level aliyetufundisha kusoma picha.
Btw hao kwenye picha hawaonekani kufanana na wenyeji wa Bukoba
Naam kitabu kilikuwa moto kweli.Tutarudi na roho zetu-Joram Kiango
Hapo ni kifo cha kujiona mkuu.Hatari
Nilianza kujiuliza nimeuona wapi msemo huu. ....asante mkuuTutarudi na roho zetu-Joram Kiango