marveljt
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 1,503
- 1,479
Bunge litaanza wiki ijayo. Pamoja na ukimya ambao si kawaida yao kuwa hivyo kwa muda mrefu ni dhahiri kuwa watatoa ya moyoni wawapo mjengoni. Ukimya huo aidha ni utashi wao au wa chama husika. Niwapongeze ingawaje haitakuwa habari ngeni kusikia baadhi ya wabunge wamekamatwa kutokana na kesi zitakazofunguliwa au zilizofunguliwa lengo hasa likiwa ni kuwanyamazisha kutokana na ushawishi walio nao.
Je, bunge kitaendeshwa kwa taratibu na kanuni?
Je, maslahi ya nchi yatawekwa mbele?
Je, haki za wafanyakazi zitapewa uzito? Mf. Wagonjwa kupewa uhamisho
Je, baadhi ya taratibu za baadhi ya wizara zitarekebishwa? Mf. Board loan, kuhamisha mwalimu wa sec kwenda pr.
Je, mambo ya maendeleo ya ujumla yatapewa kipaumbele? Mf. Mpango anasema watanunua ndege 3, je ndege inagusa watanzania wangapi.
Je, wewe mtanzania utakubaliana na msimamo utakaotoka huko? Kama ndiyo/ hapana sema kwa nini
Nini matarajio yako katika bunge hili ikiwa bajeti ya mwaka jana robo tatu ya bajeti haijafanyiwa kazi ila mwaka huu wanawakilisha ajenda mpya yenye bajeti kubwa zaidi ya mwaka jana