miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,109
kuna ukweli mchungu about human being..... cheating is inevitable especially kwa man because man are naturally born polygamous!!!!
mnaweza pata wote waaminifu but crush happens sometimes.... me najua mtu akikucheat haina maana hakupendi ni ameamua kubadilisha ladha au kashetani kamepita,....okey!! kuna watu wanacheat lakini wake wapenzi wao bado wanawapenda na kuwajali sana tena sana ... na kama ni mwanamke embu jaribu kumwambia aachane na fulani utasikia mziki wake...
nachotaka kusema kucheat na kupenda ni vitu viwili tofauti kabisa.....!!
Dah!
Hii ngumu sana kumesa
Nilijaribu lakini nilishindwa
Nyakati hizo nilipokuwa kwenye mahusiano mwanamke huyo alikuwa pasua kichwa[ CC Tina cute]
Nilijitahidi sana kujaribu kumshauri lakini haikuwezekana
Nikajaribu kum-cheat ili nijaribu kupunguza maumivu lakini nilishindwa
Niliachana nae
Nikaamua kukaa peke yangu tu
Lakini kila siku naona kama nahitajika kuoa
Lakini tatizo ni huyo wa kuoa
Kazi ipo!
Nina mdogo wangu wa kiume,third year University level...wakati mwingine huwa nikikosa cha kunisumbua ubongo huwa hisia za kwamba bwana mdogo hayuko sawa zinanijia! Ni aina ya wale watu ukisafiri unaweza kumhamishia chumba cha shemejiye (mkeo) na bado usalama 24/7 ukawepo!
Vibinti navyo haviishi kujipitisha kwa bwana mdogo na kubwa kuliko ni pale binti mmoja decent aliwahi kunifuata kuniomba nimuunganishe na bwana mdogo...nilijaribu sana bila mafanikio kutengeneza mapande yaliyoisha kugonga mtambaa wa panya! Hofu yangu nikitazama kizazi hiki ambacho kila kitu ni dot.com sijui kama mke wa mdogo wangu anaexist!
mnaweza pata wote waaminifu but crush happens sometimes.... me najua mtu akikucheat haina maana hakupendi ni ameamua kubadilisha ladha au kashetani kamepita,....okey!! kuna watu wanacheat lakini wake wapenzi wao bado wanawapenda na kuwajali sana tena sana ... na kama ni mwanamke embu jaribu kumwambia aachane na fulani utasikia mziki wake...
nachotaka kusema kucheat na kupenda ni vitu viwili tofauti kabisa.....!!
Lakini mkuu hili jambo tupo nalo siku nyingu sana, na inavyoonekana namna ya kulifanya liende tutakavyo kama inakuwa vigumu na sio kwamba hatutaki bt mfumo wa kishetani ulowekwa. Leo hii thamani ya ndoa kwshney yani ni kulanduana na tu, So ...... .............. liwalo na liwe
nani ndo kasema is unkwepable? dont lie to yourself fungua macho angalia ulimwengu wa sasa.....where are you?Subiri umri ufiki mkuu, utaoa tu, hi kitu inaitwa ndoa is unkwepable, kuna hali fulani ya upweke ikikushika mkuu utanyoosha mokono mwenyewe na kwenda hata kwa Heaven on earth na uka propose!
Unaweza kutoa ufafanuzi wa haya madai yako?
Yes cheating na upendo ni vitu viwili tofauti,lakini ni kivipi?
U cant be seriouz ma dear,ya kwamba anabadilisha radha wakati unajua kabisa not acceptabo ndani ya jamii Ok huwa mki cheat mnapata radha gan?????
unaweza cheat kwa sababu mkeo mwembamba au demu wako lakini unatamani kujaribu mnene yukoje lakini umpendi. u just want to try different thing okey...... unayempenda haupo tayari kabisa kumpoteza kwa namna yeyeto ile.. i try to ask hili swali kwa nini fulani unamcheat boy wako au girl wako mwingine nampenda lakini ni mvivu maeneo fulani so acha nitafute huku mwingine amsaidie..... mwingine huyu demu kajilngesha acha niwe nachapa tu kwa mda.... na sababu nyingi za kijinga jinga ,,lakini hawapo tayari kupoteza vipenzi vyao...
Unamaaanisha nini?
for those who are doing ndo wanavyosema wanabadilisha ladha..... especially men eti siwezi kula ugali maharage kila siku mmh!!
labda we kidume ndo unaweza ni saidia uliyesema ni natural mnapata nini huko nje ukicheat?

Kutokujua kunatutesa sana!
Unajua maana ya kupenda?