Subiri umri ufiki mkuu, utaoa tu, hi kitu inaitwa ndoa is unkwepable, kuna hali fulani ya upweke ikikushika mkuu utanyoosha mokono mwenyewe na kwenda hata kwa Heaven on earth na uka propose!
Subiri umri ufiki mkuu, utaoa tu, hi kitu inaitwa ndoa is unkwepable, kuna hali fulani ya upweke ikikushika mkuu utanyoosha mokono mwenyewe na kwenda hata kwa Heaven on earth na uka propose!
Eiyer said:Kuna watu wamezaliwa na tabia ambazo kwa ulimwengu wa leo watapata shida sana
Hapa nawazungumzia wale ambao wamezaliwa huku wakiwa hawawezi kabisa ku-cheat lakini wakati huohuo hawawezi kuhimili mwenza wao kuwasaliti
Mambo mdebwedo hapa ukikausha hawachelewi kusema jamaa sio riziki ukipuluza haaa huyo tayari tunahesabu ma siku kuzika haah haah
By the way mkuu jilipue tu
Mkuu naona sentensi inaeleweka,ngoja nijaribu kuelezea tenaNaomba ufafanuzi kidogo katika mandishi hayo niliyoyakoleza kwa wino mwekundu...sina uhakika kama nimeleewa nilivyoelewa
Yaani nahisi wewe uko kama mimi. Mimi siwezi kumcheat mpenzi wangu ninaempenda hasa. Nikikucheat that means sikupendi. And i cant imagine kugundua mpenzi wangu anacheat.
Anyways,lakini mimi nimeamua kuoa kwa moyo mmoja, naamini all will be well
kuna ukweli mchungu about human being..... cheating is inevitable especially kwa man because man are naturally born polygamous!!!!