Tutapata lini timu ya kuziondoa yanga na simba

ndomyana

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
5,511
2,034
Nilitegemea kuja kwa azam ndio utakua mwisho wa moja ya club kongwe simba au yanga.

Nilichokuja kugundua azam ni wasanii na wamekuja kuigiza kutokana na maigizo waliyotufanyia leo na kupigwa goli3-2.
Aina ya kuwauzia wachezaji simba ngasa na chombo.
Poleni watanzania mlioitumaini azam hilo ndo soka la yanga na simba
 
Back
Top Bottom