Tutaona mikangafu ya kale na 110 Landrover zikijaa barabarani

Shedangio

JF-Expert Member
Oct 11, 2016
448
170
Habari wakuu baada ya bajeti ya mwaka huu kutoa msamaha wa kodi kwa magari yanayodaiwa na kufuta Kodi ya mwaka unadhani magari bara barani yataongezeka?
 
Hiyo mikangafu ije tu maana itakuja kuongeza pato la Taifa. Lakini msisahau kuwa Trafiki nao wapo kazini.
 
ee1ae6b35a2d1414e0c814245001d67e.jpg
 
Habari wakuu baada ya bajeti ya mwaka huu kutoa msamaha wa kodi kwa magari yanayodaiwa na kufuta Kodi ya mwaka unadhani magari bara barani yataongezeka?
Mama yako analo hilo mkangafu,ukiona mtu aliweza miliki kipindi hicho ujue alikuwa vizuri miaka ya mkapa na Mwinyi,Kipindi hicho wazaz wako wanatembea peku bila viatu,you are talking rubbish
 
Mkangafu Wangu na test tarehe 30/6/2017 kuanzia saa 6 kamili usiku, tarehe 1/7/2017 ndani road
 
Back
Top Bottom