Tutamkumbuka Samia, kwani anaenda wapi?

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,175
Reaction score
60,547
Mbona kama ameanza kuaga mapema sana kwani anaenda wapi.

Alianza Samia mwenyewe akasema mtanikumbuka, leo Mchengerwa naye kasema mtamkumbuka.

Nakumbuka hata wakati wa mwisho wa enzi za Mwendazake naye alianza kutamka maneno haya haya kuwa mtanikumbuka, binafsi sijui nini kinaendelea.

 
Ukiona hivyo ujue Israili ameshakabidhiwa faili lake tayari na sisi Watanganyika tunamtakia Israili utendaji uliotukuka.
 
Huyu jamaa masaa machache kabla ya utekaji wa Polepole katika usiku ambao Polepole alitekwa , huyu mtu aliweka whatsapp status ya picha ya aliyekuwa mwanaharakati Che, Che anafahamika kwa msemo wake maarufu 'Hasta la victoria siempre!' ambapo Polepole alipenda kuutumia..

Usiku huo huo balozi Polepole akatekwa..
 
Mkuu kama inawezekana ongeza vinyama kidogo kuhusu huyo jamaa "Che".
 
Kukumbukwa ni jambo la kawaida kwa mtawala wa aina yake mara tu baada ya kufa au kutoka madarakani. Muhimu aangalie atakumbukwa kwa yapi! Mazuri mengi na mabaya machache, au atakumbukwa kwa mazuri machache na mabaya mengi!
 
ANAWAHI DUBAI! kwa ndugu zake WAARABU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…