Japo kuwa sikuwa nakubaliana nae mambo mengi sana Mtoi lakini ameniuma sana,siku nzima sikuwa na furaha juu ya msiba wake,naamini Mtoi alikuwa mtu mpenda mabadiliko kama wengine ,japo tulitofautiana njia alizokuwa anapita yeye,
Mwiso kwa niaba ya family yangu mawapa pole sana family na ndugu wa Marehem Mtoi Inshallah Mungu amlaze mahala pema ,
Daima tutakukumbuka sio kwa sababu ulikuwa mfuasi wa CHADEMA bali kwa Utanzania wako