Tutakukumbuka daima milele

Pole ndugu, tuzidi tu kumuombea pamoja na marehemu wengine wote waliotangulia mbele za haki.

Mwenyezi Mungu azidi kuwaangazia. AMINA
 
my dad died when I was 4...I never knew how it hurts until wen I reached a certain

age of my Life...It is one of my worst feeling ever..I could understand how it feels, the gap,

the everything without him
Pole sana lovito
 
Pole sana my cousin charminglady
Bwana alitoa na alitwaa jina lake lihimidiwe
Mungu azidi kukupa nguvu, ujasiri na awe pamoja nawe

hivi Lady doctor anafahamu hii habari?

my dear cousin charminglady tuko pamoja katika kumbukumbu hii muhimu yenye majonzi na huzuni ila naamini Mungu yu pamoja nawe, tuendelee kumuombea baba yetu mpendwa apumzike kwa Amani!
 
Last edited by a moderator:
Napenda kutoa shukrani zangu kwenu nyote mliojumuika nami kiroho katika kumbukumbu ya kifo cha baba yangu mpendwa....

Mungu awabariki nyooooote....

Usiku mwema
 
my dad died when I was 4...I never knew how it hurts until wen I reached a certain

age of my Life...It is one of my worst feeling ever..I could understand how it feels, the gap,

the everything without him

Pole sana mamie... Ingawa hata mie wakati huo nilikiwa std 6 bado sikuwa naelewa sana kuhusi kifo!!

Yaan saiv ndo naumia utu uzimani!!"
 
charminglady maisha ni zawadi atupayo mola kwa mapenzi yake ila kuyachukua pia hatuna access ya kumuhoji.
My daddy also passed away December 10, 1998.

Pole sana best ila mapenzi ya Mungu yatimizwe daima.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana my dear.
Nshaona fursa hii, mama anaendeleaje? Baba yangu ni mgane, hebu tuunganishe familia aisee.
 
Pole sana best. Upweke huwa hauishi, the older u get the more you wanna have your parents.
(mama yuko widow bado? Niko busy namtaftia baba mchumba manake my mom passed on in 2004)
charminglady maisha ni zawadi atupayo mola kwa mapenzi yake ila kuyachukua pia hatuna access ya kumuhoji.
My daddy also passed away December 10, 1998.

Pole sana best ila mapenzi ya Mungu yatimizwe daima.
 
Last edited by a moderator:
Lol, safi kabisaa. Sasa tuwapambanishe. Kidate hapo naura springs shaaa afu tunawaachia.
Nashukuru nimepata step brother. Sasa ule ugomvi wetu umeisha, we are family hehehe
She's available! They'll make a perfect couple aisee. You'll be my sister (sic) and I will be your broda (sic):smile-big:
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…