Tutakukumbuka daima baba...

Bakulutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
2,597
Reaction score
1,868
Ni miaka 18 umetimiza baba yetu mpenzi Genes Leonard Mrina tangia ulipo tutoka gafla tarehe 13/05/1995, kamwe hatuta sahau malezi yako mazuri, upendo mkubwa na mipango mizuri ulio kuwa nayo juu ya familia yako......
Tunakumbuka shida zote zilizo tupata baada ya kifo chako...lakin Mungu aliingilia kati!
Tunakukumbuka saana watoto wako, Gili,God na Glory pamoja mkeo Mariana, ndugu n.k...
Mungu aendelee kukupa punziko la amani baba, na tutakukumbuka daima.
Amen!
 
Hakuna pumziko la amani kaburini.
Lingekuwepo hilo pumziko la amani kila mtu angetaka kufa ili akapumzike. Nani asiyependa kupumzika?
Soma Wakolosai 2:8
 
Hakuna pumziko la amani kaburini.
Lingekuwepo hilo pumziko la amani kila mtu angetaka kufa ili akapumzike. Nani asiyependa kupumzika?
Soma Wakolosai 2:8

Hakuna ijara ya wafu....kwa maana wafu hawajui neno lolote.
 
Hakuna ijara ya wafu....kwa maana wafu hawajui neno lolote.

Kweli kabisa, mtu akifa kafa kama mbwa anavyokufa. Kama unaweza kumwombea mbwa aliyekufa ili abadili tabia yake ya kubweka na kuiba nyama vivyo hivyo na mtu utaweza kumwombea ili abadili tabia yake ya wizi na kurudisha vyote alivyoiba akiwa hai
 
Hakuna pumziko la amani kaburini.
Lingekuwepo hilo pumziko la amani kila mtu angetaka kufa ili akapumzike. Nani asiyependa kupumzika?
Soma Wakolosai 2:8



Wengine hawana bible weka Neno linavosema boss....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…