tutakuja kuuana humu.

beibe nasty hivi we unaona ni sawa kweli,ukizingatia nilijitoa kwa roho moja kwa The secretary?
 
Last edited by a moderator:
Bishanga rejea ushauri wangu wala hutopata shida ulizonazo. Tatizo ukishakopa bank unakuwa nao wengi sana refer dena amsi hapo juu. Kwenye hayo mashimo umeshawahi kuingiza mafuso mangapi? Ww unasema mwanaume kuhonga, think twice my friend.
 
tatizo umesoma shule za kithungu
kilugha cha kwetu kinakupiga chenga,
ngoja nikutumie kamusi ili usome na kuelewa.

you can't be serious mamndenyi!! Can you please kindly repeat what you just say????? Wewe ukiendelea hivyo unanifundisha nianze kutafuta smolu hausi.
 
Last edited by a moderator:
Bishanga matatizo kwako hayaishi tu? Next time tafuta mwenye sura kama ngumi uone kama wataweza k
uingilia mapenzi yenu.

Lizzy ujue nilikupenda sana,halafu vya ukweli?
 
Last edited by a moderator:
Bishanga we ulijitoa kwa roho moja mi nimeamua kujitoa kwa roho tatu kabisa ili hata moja ikipata shida mappenzi yetu yanaendelea kung'ara na The secretary wangu...!
Kumbuka nampenda sana na wewe futa historia zako kwake!
She is mine meeeeeeeeen!
hiyo niniliyu ya kumniniliyiya unayo? Nasikia too much overuse mpaka kamebakia kapenseli,kwi kwi kwu kwi....ndo mana Amyner alikuacha akaenda kwa Nyani Ngabu.
 
Last edited by a moderator:
Bishanga rejea ushauri wangu wala hutopata shida ulizonazo. Tatizo ukishakopa bank unakuwa nao wengi sana refer dena amsi hapo juu. Kwenye hayo mashimo umeshawahi kuingiza mafuso mangapi? Ww unasema mwanaume kuhonga, think twice my friend.
achana na Dena Amsi kataka nimwoe mdogo wake nimekataa.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…