Sim Card
JF-Expert Member
- Dec 30, 2019
- 881
- 1,606
Salaam kweli sasa tumefika hatua ya kuweka mabango. Hali tete tutakoma tusipochukua tahadhari
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakumbuka zamani babu yangu aliwahi kuniambia hivi... Heri kufa macho, kuliko kufa moyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakumbuka zamani babu yangu aliwahi kuniambia hivi... Heri kufa macho, kuliko kufa moyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Marachache mkuu, maana kuubebe mzigo wa lawama kamwe haihitaji ngata...teh[emoji23]Mzee naona sasa hivi ni mwendo wa methali na misemo ya busara.