Bugals Edward
Member
- Jan 13, 2018
- 37
- 7
Kumbuka yule jamaa aliekuwa kiongozi wa CHADEMA aliekutwa amenyongwa na kuuwawa kikatili, eti tumesha msahau,,,, kisa tukio la juzi kwenye uchaguzi wa kinondoni,,,,
Drop reply matukio gani yalitusahaulisha matukio haya
a,)kutekwa kwa roma,
b) kupigwa risasi kwa Tundu lissu
c)kukutwa kwa mizoga mto rufiji
d)makinikia
Weka na tukio tulilo kwisha sahau na tutakavyo sahau na hili la kinondoni