Tutaje vijiwe vya wauza bangi Dar es Salaam

wakusoma

JF-Expert Member
Feb 25, 2008
1,068
2,000
Mimi naanza na Sinza Kijiweni pale kwa Rasi na Tabata Sanene pale kituoni kwenye madereva taxi, vile viosk vyote pale biashara kubwa ni bangi ila wanakuwa wanazuga na kuuza pipi na vitu vidogo vidogo.

Taja na wewe vijiwe vya kuuza bangi unavyovijua pengine tutasaidia wakamatwe.
 
Sakasaka Mao

JF-Expert Member
Sep 29, 2016
6,040
2,000
Temeke kwa AzizAlly ndanindani, wauza bangi waliniacha hoi kwa mbinu waliyokuwa wakitumia.
Niliingia gheto alikuwa akiishi bw. Mdg.
Ndonikaelezwa kuwa "kaka eneo hili hatari, unamuona huyo jamaa kakaa chini ya mua40 anasoma gazeti?"
" Hapo jamaa yupo kazini anauza ndumu"
Nikauliza anauzaje wakati hana kitu chochote maeneo yale? Nikaelezawa kuwa inapofika saa11 alfajiri, jamaa hujidamka kupanda mbegu. Yaani hupanda chini udongoni puri za bangi alizopanga kuziuza siku hiyo, kisha huweka kila sehemu vialama viashiria anavyovijua yeye.
Anapokuja mteja sharti la kwanza anatoa hela ya puli anazohitaji, kisha huelekezwa sehemu ilipopandwa akafukue mteja mwenyewe kwa mikono yake.
Hapo hata polisi lazima wafanyekazi ya ziada kumtia korokoroni. Nilipopita juzi nikakuta huyo mtu anayeshinda akisoma gazeti chini ya mti, yupo.
 
wakusoma

JF-Expert Member
Feb 25, 2008
1,068
2,000
Fungukeni basi tujue mitaa hiyo....
Tabata segerea..kituo cha basi sanene.Kama unatokea mjini ukishuka Hapo sanene..vuka barabara upande Wa pili utaona kuna taxi na pembeni ya taxi bubu hizo kuna vi osk vya wachaga.

Hapo bangi inavutwa na kuuzwa 24/7.

Sinza.ukitoka shekilango road unakunja kwenda tandale pale kijiweni..mtaa Wa kwanza kulia kunja..mbele kidogo kuna kiosk cha mangi..Hapo wanauza 24/7.

Mwenge..Maryland bar..nyuma yake..mtaa Wa kwanza kushoto..Hapo unga..bangi vinauzwa 24/7 hrs.

Mnazi mmoja kona ya Lumumba na mkunguni karibu kabisa na kituo cha polisi..bangi inauzwa mchana kweupee..

Mwenge nyuma ya sibuka FM ..kuna kijiwe pale..unga unauzwa 24/7.

Yani sehemu zipo kibaooo
 
mjingamimi

JF-Expert Member
Aug 3, 2015
23,060

Nchemba
 
vvm

JF-Expert Member
Jul 18, 2014
3,710
2,000
Huu uzi utaweweka pabaya wanaoishi kwa kutegemea biashara ya madawa ya kulevya.
 
kama kazz

JF-Expert Member
Apr 28, 2015
1,060
2,000
Waanze kwanza na mashamba na mipaka pamoja ulizi wawakaguzi wakiweza hilo tu kila kitu kwisha. Lakini hata taifa kubwa wameshindwa kuzuiya Kwa mana yangu mtampigia mbuzi gitaa akate mauno
 
The Tomorrow People

JF-Expert Member
Jul 11, 2013
2,584
2,000
Tabata segerea..kituo cha basi sanene.Kama unatokea mjini ukishuka Hapo sanene..vuka barabara upande Wa pili utaona kuna taxi na pembeni ya taxi bubu hizo kuna vi osk vya wachaga.

Hapo bangi inavutwa na kuuzwa 24/7.

Sinza.ukitoka shekilango road unakunja kwenda tandale pale kijiweni..mtaa Wa kwanza kulia kunja..mbele kidogo kuna kiosk cha mangi..Hapo wanauza 24/7.

Mwenge..Maryland bar..nyuma yake..mtaa Wa kwanza kushoto..Hapo unga..bangi vinauzwa 24/7 hrs.

Mnazi mmoja kona ya Lumumba na mkunguni karibu kabisa na kituo cha polisi..bangi inauzwa mchana kweupee..

Mwenge nyuma ya sibuka FM ..kuna kijiwe pale..unga unauzwa 24/7.

Yani sehemu zipo kibaooo
Hapo Mwenge Nyuma ya Maryland... Hata Polisi wanapajua vizuri sana.. Wanakujaga wanakamata mateja wanawapeleka uwanja wa Mpira karibu na zile Tuition centers wanawachojoa buku tano tano halafu wanawaachia.
 
Ushimen

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
26,757
2,000
Tabata segerea..kituo cha basi sanene.Kama unatokea mjini ukishuka Hapo sanene..vuka barabara upande Wa pili utaona kuna taxi na pembeni ya taxi bubu hizo kuna vi osk vya wachaga.

Hapo bangi inavutwa na kuuzwa 24/7.

Sinza.ukitoka shekilango road unakunja kwenda tandale pale kijiweni..mtaa Wa kwanza kulia kunja..mbele kidogo kuna kiosk cha mangi..Hapo wanauza 24/7.

Mwenge..Maryland bar..nyuma yake..mtaa Wa kwanza kushoto..Hapo unga..bangi vinauzwa 24/7 hrs.

Mnazi mmoja kona ya Lumumba na mkunguni karibu kabisa na kituo cha polisi..bangi inauzwa mchana kweupee..

Mwenge nyuma ya sibuka FM ..kuna kijiwe pale..unga unauzwa 24/7.

Yani sehemu zipo kibaooo
Cc: Mwigulu Nchemba
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom