Tutaje vijiwe vya wauza bangi Dar es Salaam

Nimeipenda mno makala,nimwombe aliyeianzisha badala ya kichwa cha habari kusomeka Dar aweke nchi nzima.
 
Tabata segerea..kituo cha basi sanene.Kama unatokea mjini ukishuka Hapo sanene..vuka barabara upande Wa pili utaona kuna taxi na pembeni ya taxi bubu hizo kuna vi osk vya wachaga.

Hapo bangi inavutwa na kuuzwa 24/7.


Sinza.ukitoka shekilango road unakunja kwenda tandale pale kijiweni..mtaa Wa kwanza kulia kunja..mbele kidogo kuna kiosk cha mangi..Hapo wanauza 24/7.

Mwenge..Maryland bar..nyuma yake..mtaa Wa kwanza kushoto..Hapo unga..bangi vinauzwa 24/7 hrs.

Mnazi mmoja kona ya Lumumba na mkunguni karibu kabisa na kituo cha polisi..bangi inauzwa mchana kweupee..


Mwenge nyuma ya sibuka FM ..kuna kijiwe pale..unga unauzwa 24/7.

Yani sehemu zipo kibaooo
sasa wanaposema vita dhidi ya wauza unga ningumu siwaelewi coz hawa mapusha wana wajua dealers wakubwa so
shida iko wapi
 
Tumeshindwa kupambana na hili tatizo,kupambana na wauza madawa ya kulevya ni kazi ngumu sana dunia nzima.Wahusika wengi huwa na network na vigogo wa idara nyeti za serikali.Kwa sasa tunaweza kufanya yafuatayo

1.Serikali/wananchi/asasi/wasanii mbalimbali wanapaswa kufanya kampeni maalum kwa vijana walio mtaani na wanafaunzi wote walio shuleni athari ya madawa ya kulevya na jinsi ya kujiepusha kutumia kabisa

2.Kila kata/wilaya kuanzisha mashindano ya michezo mbalimbali (football,basketball,netball,volleyball,table tennis,kuogelea) kwa vijana walio mtaani ili kuwa keep busy waache kabisa kufikiria kutumia madawa ya kulevya.

3.Kuwatafuta waathirika wote wa madawa ya kulevya na kuwapeleka sober house na kuwatafutia ajira wanapotoka sober haouse ili wasirudie kabisa kuyatumia madawa ya kulevya
 
Nilifikiria ingekuwa ni vyema zaidi ungeanzisha uzi huu kutaja kwanza vijiwe vya wanaofanya biashara ya unga kwani ndo kitu kinachowaharibu vijana zaidi kwa sasa

Mkuu dreva taxi hampendi bajaj, na bajaj hampendi boda boda, so tunajaribu kuwaharibia boda boda ili tuendelee kupiga hela kwenye taxi.

Fukuzia mbali wauza bangi ili unga uuzike.
 
Mimi naanza na Sinza Kijiweni pale kwa Rasi na Tabata Sanene pale kituoni kwenye madereva taxi, vile viosk vyote pale biashara kubwa ni bangi ila wanakuwa wanazuga na kuuza pipi na vitu vidogo vidogo.

Taja na wewe vijiwe vya kuuza bangi unavyovijua pengine tutasaidia wakamatwe.
mkuu me nmefurah sana kutaja vijiwe vya wauza dawa za kulevya au wauza bangi hiyo nzuri sana kaka
 
mkuu me nmefurah sana kutaja vijiwe vya wauza dawa za kulevya au wauza bangi hiyo nzuri sana kaka
Asante chief..nimekaa Sana mjini navijua zaidi na zaidi.Viosk vingi vya kuuza pipi na biscuits ni zuga tuu..biashara kubwa kubwa ni bange
 
Mimi naanza na Sinza Kijiweni pale kwa Rasi na Tabata Sanene pale kituoni kwenye madereva taxi, vile viosk vyote pale biashara kubwa ni bangi ila wanakuwa wanazuga na kuuza pipi na vitu vidogo vidogo.

Taja na wewe vijiwe vya kuuza bangi unavyovijua pengine tutasaidia wakamatwe.


Kinondoni kituo cha Taxi, Kino Manyanya, Magomeni Mapipa, na Tandale pale karibu na kina Platinumz.
 
Back
Top Bottom